tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania WORLD BANK: Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19

    WORLD BANK: #Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19. There are risks for even slower growth if additional policy response is delayed, or the external environment does not improve...
  2. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

    Yale yale aliyoyasema kwamba vyombo vya habari haviko huru kuanzia Clouds, Azam, ITV wameshindwa kabisa kuwa huru kuipa airtime hii habari, Pamoja na kuwa trending news africa kupitia mitandao ya kijamii,BBC, VOA, DW lakini wao wamekuwa kimya. Wakati wako tayari kurusha habari ya TLP kumpitisha...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Why I am running for the presidency of the United Republic of Tanzania

    WHY I AM RUNNING FOR THE PRESIDENCY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Fellow Countrymen and Women; Fellow Citizens of the United Republic of Tanzania, at home and in the Diaspora; Fellow leaders, members and supporters of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); and Friends of the...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania, a Nation at the Cross Road

    On 7 September 2017, Tundu Lissu, an opposition member of Parliament in Tanzania and outspoken critic of President John Magufuli, was gunned down and suffered multiple wounds in an assassination attempt. Now, he is announcing that he is running for president on 25 October 2020 and aims to use...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa aliyoituhumu Tanzania akiwa ughaibuni, Lissu hatakiwi kabisa kukanyaga ardhi ya Tanzania

    The man is naive ameropoka toka mwaka Jana serikali haijamjibu chochote Amezunguka akihamasisha mabaya yote ya nchi serikali imekaa kimya Nadhani huyu jamaa anaichukulia poa sn Tanzania kwamba unaweza Fanya chochote bila kufanywa chochote . Jamaa anasahasau kwamba anaowategemea tuliwafurusha...
  6. JamiiForums Tanzania Kama hauna furaha na Tanzania yetu unaweza usirudi kabisa baki huko huko lawama kila siku baki huko huko

    Kila siku ww kulaumu una negative mindset hauoni madaraja yanayojengwa baki huko huko tu usije kutuharibia nchi yetu Hauoni mabarabara yanayojengwa unalaumu tu kila kitu baki hukohuko . Hauoni ufufuaji wa shirika LA ndege baki huko huko Hauoni faida ya Reli inayojengwa tunakuomba ubaki huko...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming. 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yanusuru mabaharia saba wa Tanzania waliokuwa wanazama

    Walikua wanasafiri kutokea Tanga kuelekea Pemba............ Seven Tanzanian fishermen escaped death by a whisker after Kenyan government rushed to their rescue when their boat capsized in the Indian ocean. The group made a distressed call near Mtwapa along the Kenyan Coastline after their...
  9. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania na Oman Air wana mpango gani?

    Nina ndugu yangu ambaye ameathirika na kukatikiwa safari nchini Oman kutokana na janga la Corona. Yeye ni mmoja tu wa watanzania wengi waliokwama nchini Oman kutokana na adha hii. Alikata tiketi ya kwenda na kurudi katika kuwatembelea familia. Baada ya muda wa viza kuisha na ndege ya shirika la...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania’s COVID-19 containment measures have been markedly less strict than many neighboring states

    Tanzania’s COVID-19 containment measures have been markedly less strict than many neighbouring states, where lockdowns and travel restrictions have largely become the norm. Despite schools and universities being closed, a ban on mass public gatherings imposed, and citizens encouraged not to...
  11. JamiiForums Tanzania Kilangi aweza kuwa ndiye AG mbovu kuliko wote waliowahi kuhudumu nchini Tanzania tangu Wakoloni waondoke

    Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG. Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumejifunza nini na kifo George Floyd?

    Dunia imezizima, Africa imezimama na Marekani imezizima. Kifo cha Mmarekani mweusi Mr. George Floyd(48) kimebadilisha kabisa mwelekeo wa siasa za Kibaguzi si Marekani tu baali dunia nzima ikiwemo Tanzania. Siasa za Kibaguzi zipo tu kila sehemu duniani. Kuna watu wanafikiri ubaguzi ni wa rangi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Mizozo ya mipakani, wa kulaumiwa ni Tanzania

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada ili kumfunga paka huyu kengele. Tunayoyashudia sasa hivi mipakani ni wazi kuwa yataendelea kwa muda mrefu tu na bila ya kupatiwa ufumbuzi wa kudumu. Ni wazi kuwa Tanzania kwa kukataa kuwemo katika protokali za pamoja kuhusiana na ugonjwa huu katika...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

    Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu. Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Juni 10 IMF & World Bank kuamua iwapo Tanzania tunakidhi kupewa mkopo tulioomba kupambana na corona au hatustahili

    June 10 bodi ya wakurugenzi wa shirka la fedha Duniani na Bank ya Dunia kuamua iwapo tunastahili kupewa msamaha na mkopo kupambana na corona au laa. Mwezi April IMF na WB walitengeneza kitu kinaitwa Catastrophe Containment and Relief Trust ili kusaidia nchi masikini kupambana na madhara ya...
  16. JamiiForums Tanzania Risala ya Chama cha Walimu Tanzania iliyosomwa kwa rais Magufuli na Katibu Mkuu Mwl. Deus G. Seif - JUNI 05, 2020

    RISALA YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KWA MGENI RASMI MH. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU - JUNI 05, 2020 KATIKA UWANJA WA CCM JAMHURI JIJINI DODOMA Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania UNDP: In the long run, COVID19 will have significant risks to sectors in Tanzania especially tourism

    UNDP TANZANIA: In the long run, #COVID19 will have significant risks to sectors in #Tanzania such as tourism & hospitality, transportation & storage, wholesale & retail trade, construction & real estate, manufacturing industry. More on: New Report released: Rapid Socio-Economic Impact...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi awaagiza askari walinde Katiba juu ya maandamano na sio kumlinda Trump na kauli zake

  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

    Salaam Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT. Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania ngumu kama Schrödinger’s equation. Angalia madudu hayo, ndiyo siasa za kwetu

    Siasa za Tanzania ni ngumu kama Schrodinger equation! Mara hawa hata wakiua mtu wasishitakiwe, wakiiba wasishitakiwe. Mara wakurugezi wameapa hawawezi kuiba kura; magumu kama ya Schrodinger! In simple terms, Schrödinger stated that if you place a cat and something that could kill the cat...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…