Rais Trump ateua balozi wa Tanzania baada ya miaka mitatu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Hatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania.

Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo.

Source: Mwananchi

My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi
 
Tanzania iko nyuma sana kupata taarifa. Huyu jamaa kawekwa kama possible nominee kwa hii post ya Tanzania. Amewekwa toka 29 Oct. Ukipitia kwenye state.gov utaona taarifa hii
Nadhani alikuwa hajapokea Agrément bado...
 
Hatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania.

Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo.

Source: Mwananchi

My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi

Hawajaleta tu Balozi kama Balozi bali wameleta pia Jasusi ambaye kama tusipoacha huu Upuuzi wetu hasa wa Kidemokrasia unaoendelea sasa Tanzania huenda huyo ndiyo akawa Mjumbe muhimu wa Rais Trump katika Kutusemea Kwake kisha Marekani ikatugeukia na Watanzania tukaanza Kutafutana kwa matatizo ya Kiuchumi. Hakuna asiyejua kuwa Tanzania inapata misaada mingi, mbalimbali na ya katika Nyanja muhimu kutoka kwa Taifa la Marekani. Tukimtumia vyema huyu Balozi atakuwa na Msaada Kwetu hasa katika Sekta muhimu ila Kinyume na hapo ni huyu huyu Balozi ndiyo atakuwa Chachu ya Kutuumiza.
 
Laana isiyo kubaliwa.
 
Hatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania.

Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo.

Source: Mwananchi

My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi
No doubt
 
Hadi sasa bado ni Candidate tu. Confirmation bado hata huko state department......

Ameletwa mtu strong maana alikuwa Kaimu Waziri wa Afya
 
Back
Top Bottom