Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla...
"We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo...
Nasikia kuna lawama juu ya kuongezeka kwa kasi kwa deni la taifa, naomba kuuliza, mwisho wa kuhimilika kwa deni la Tanzania ni trilioni ngapi?
Kama ni trilioni 50, au 60, au 70 au pengine hata trillion 100, basi tukope haraka haraka kwa kasi zaidi hadi pale deni litakapokuwa halihimiliki ili...
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba...
Hatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania.
Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo.
Source: Mwananchi
My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi
Kuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu;
1. Ni mropokaji kwa kuwa anapoongea hajali kadamnasi imayomsikia. Matusi ya nguoni ndiyo lugha yake ya kawaida.
2. Hapendi upinzani kwa kuwa akiruhusu atashindwa asubuhi. Ndiyo maana katumia hela...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili
Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
Tanzania ni nchi kati ya nchi za Africa ambayo inauwezo wa kwenda mbali sana kiuongozi kwenye kila eneo. Tuna rasilimali karibu zote na kwasasa tunaanza kuona jidihata za uwekezaji na uzuiaji wa rushwa.
Kitu kimoja ambacho kinaturudisha nyuma na tumerudi nyuma sana ni demokrasia. Nchi yetu...
Ni wachache sana ambao wanapokea simu yeyote ngeni bila kuogopa
Ni wachache sana wanaopewa appointment wakaenda bila hofu
Ni wachache Sana wasiokuwa na wasiwasi endapo jamaa zao wakichelewa kurudi kazini
Ni wachache Sana ambao wanaandika ndani ya Mitandao bila kuogopa
Ni wachachache sana...
Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
Wakuu naomba kuuliza, nimeagiza gari Japan through BeFoward nilitaka kujua kama wana fanya pia kazi ya kuclear gari inapofika bandarini Dar es Salaam.
Huduma zao zikoje na pia bei zao zikoje pia.
Asante nawasilisha
Kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea pamoja na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021.
Wachezaji walioitwa ni;
:
Ilikuwa siku ya Jumapili ya tar. 8 Machi, mwaka 1987, saa nane za usiku, katika viunga vya jiji la Dar es Salaam, kambi ya wapigania uhuru wa Afrika Kusini chini ya Chama cha ANC iliyokuwa Dakawa Morogoro, ilikuwa tayari imepika wapiganaji wa kutosha walioitwa Umkhonto-Wesizwe, ambapo...
Habari za mchana ndugu zangu,
Jana kumekuwa na shida kuanzia saa nane mchana saa za Dubai/UAE kuhusu kutuma pesa Tanzania kwa njia zote: Western Union, Mpesa, Instant Cash, na bank transfers.
Mashirika haya yanadai kumekuwa na memo toka Central Bank ya Tanzania kuhusu utumwaji wa pesa Tanzania...
Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema katika kipindi cha mwaka 2016/17 hadi Septemba 2019, Serikali imelipa jumla ya Sh24.499 trilioni kwa ajili ya deni lililoiva la fedha zilizokopwa kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Dk Mpango ameyasema hayo leo...
Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi!
Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
yafuatayo ni mambo 20 yanayouponza upinzani Tanzania:
1. Mitandaoni haswa Twitter Instagram na Jamii forum. Utadhani wapiga kura woote wanasoma Twitter! Utadhani tabu zao zitapatiwa ufumbuzi Twitter! Lakini kwa wenzao CCM wanawatumia mitandao hii kwa akaunti zao kama MTAGA kuelezea zaidi...
Nasema hivi kwa sababu kila ninapotembelea Blogu za kitanzania nyingi huwa unakuta trojans; kuna wakati Mwananchi ilikuwa na trojan kwa takribani miezi mwili kabla hawajachukua hatua; sasa hivi MillardAyo ina Trojan kwa karibu miezi mitatu na bado hawajafanya lolote, Michuzi blogu na Bongo5...
High prices of maize in Kenya have hit the Tanzanian market with most traders exporting to Nairobi to enjoy the windfall, creating a shortage in the neighbouring country.
The price of a 90-kilogramme bag of maize in Nairobi is selling for Sh4,000 compared with Tanzania where it goes at about...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.