Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

Status
Not open for further replies.

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,338
Points
2,000

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,338 2,000
Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni Waislam kuliko Wakristo?

Mifano hai:

1: Matajiri 10 wakuu nchini Mkristo alikuwa ni Hayati Mengi tu 2019, Tisa wote ni Waislam.

2: Muislam mmoja anaweza kujenga nyumba ya ibada peke yake ila Wakristo kutokea ulaya watachangishana hata kama kunabilionea na yeye atatoa kamchango hata kama anauwezo wa kujenga akakabidhi ufunguo.

3: Ukiangalia siku za sikukuu za Waislam misaada hutolewa ya kufa mtu kulinganisha na sisi Wakristo kusaidia wahitaji.

Wakuu, tunafeli wapi?

Nimepata wazo hili nilipokuwa nikijilimia kishamba changu huku mtaa flani jijini Dar es Salaam, nikasema haiwezekani ngoja ma-great thinkers tusaidiane kutafakari nini tatizo.
 

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,338
Points
2,000

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,338 2,000
Wataje tuone...! Ingekuwa sawa hii ungesema...! Matajiri 'ninaowajua' mimi.
Mo dewji
Rostam Aziz
Bakhresa
Mengi
Ally Awath
Shekhar Kanabar
Fida hussein Rashid
Yusuph Manji
Salim Turkey

hawa nimewakuta hapa
 

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,338
Points
2,000

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,338 2,000
Ungeandika kuwa matajiri wengi ni waarabu na wahindi Waislamu

Waislamu weusi wako choka mbaya
hahahaha
mkuu nimekupata.
ila nao wapo mkuu wakina mzee ali mfuruki.
Pia hata ikitokea xenophibia (hatuombi) mali za wahindi na waarabu zitabaki kwa ndugu zao waislam
 

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
6,784
Points
2,000

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
6,784 2,000
Mo dewji
Rostam Aziz
Bakhresa
Mengi
Ally Awath
Shekhar Kanabar
Fida hussein Rashid
Yusuph Manji
Salim Turkey

hawa nimewakuta hapa
Waislamu uliowataja wote wapiga dili na biashara haramu.
Mo huku mahakamani anaingia kwa jaji kama chooni, anaacha hela atakayo.

wengine naogopa kutaja mambo yao MEKO atalala nao mbele leo leo
 

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,338
Points
2,000

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,338 2,000
Fatilia Asili Zao Vizuri Utaona Karibia Wote Wanaasili ya bara fulani.


Ukiachana kama alivyokuwa Marehemu Mengi unaona kabisa asili yake ni wapi.
lkn ni waislam mkuu.
Humu bongo kuna wazungu wengi tu ila nao ni choka mbaya ukilinganisha na hawa mabwana tena wengine wamewaajiri.

mfano mzungu ''the farmer', kuna mmoja huwa namuona sijui DJ, wenngine wanatembea peku, .

tusibaguane, tukubali wote ni watanzania, wenye dini zetu ila kuna wengine
 

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
6,784
Points
2,000

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
6,784 2,000
Hii siku zote huwa nasema ni hatari sana uchumi kuhodhiwa na watu ambao kiasili sio Watanzania

Kwa usalama wa Nchi ni hatari sana
Ukienda USA au china matajiri hutengenezwa na mfumo lazima wengi ni wazawa
Tunajua hayo ndio maana tumeanza kutengeneza matajiri wa kisukuma.
Tumeanza na kuwapa uwaziri, ukuu wa majeshi, mikoa, ubunge wa kuteuliwa na ubalozi
 

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,338
Points
2,000

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,338 2,000
HIZI NDIZO SABABU
➡Rejelea walio kuwa wakiendesha biashara ya utumwa utagundua waarabu ni walizijua pesa muda mrefu kidogo

➡ Tizama ile Triangular slave trade utagundua watu toka Asia wanajua kuzitafuta fursa na kuzitumia
Kwa mtizamo wangu
Kwa nini wazungu ambao walikuwa wakristo wengi ambao hiyo biashars ilikuwa yao hawakuhakikisha wafuasi wao wanatajirikia kuliko madalali wa hiyo trade (Waarabu) ambao sasa hawashikiki
 

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,338
Points
2,000

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,338 2,000
Tunajua hayo ndio maana tumeanza kutengeneza matajiri wa kisukuma.
Tumeanza na kuwapa uwaziri, ukuu wa majeshi, mikoa, ubunge wa kuteuliwa na ubalozi
Ni sawa na kumvalisha kitimoto suti na kumpulizia unyunyunyu. Kumlazimisha mtu kuwa tajiri kisiasa bila maandalizi ya Muda mrefu kiakili, ataishia kurudia kulekule tu.

naona kama hawa jamaa wamejipanga na wametulia muda mrefu.
Kwanza Wakati Yesu alikuwa Selemala, Mtume Mohammada SAW alikuwa mfanyabiashara.
Hii tu kisaikolojia lazima ukimuweka mkristo na muislam kwenye biashara lazima Muislam makini amkimbize mkristo
 

The Elephant

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
3,846
Points
2,000

The Elephant

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
3,846 2,000
Hii siku zote huwa nasema ni hatari sana uchumi kuhodhiwa na watu ambao kiasili sio Watanzania

Kwa usalama wa Nchi ni hatari sana
Ukienda USA au china matajiri hutengenezwa na mfumo lazima wengi ni wazawa
Wakati mwingine una ka akili

sasa kwa mfumo ambao uko chini ya chama chako cha mafisadi mtu mwenye asili ya Msoga anaenda kuwa tajiri saa ngapi-kila kitu mnaendesha kwa matamko
 

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,338
Points
2,000

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,338 2,000
ila pia usisahau kujiuliza, kwanini watanzania weusi wenye kipato cha kati(middle income tanzanians) wengi wao ni wakristo na wa kipato cha chini wengi wao ni waislamu.

haihitaji tafiti za kisomi kulijua hilo.
unakapoint mkuu.
Wote wakristo na waislam wanadai baba yao wa kiimani ni Ibrahim.
Wakristo wanaonekana kuwa na uhalali zaidi. ila Baba yao alikuwa bilionea sasa inashangaza kukuta mabilionea ni watu wa upande wa Ishmail na sio Isaka.


nawaza tu. Ingawa hapo middle income nahitaji kupazamia zaidi
 

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Messages
3,890
Points
2,000

kabila01

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2009
3,890 2,000
Mo dewji
Rostam Aziz
Bakhresa
Mengi
Ally Awath
Shekhar Kanabar
Fida hussein Rashid
Yusuph Manji
Salim Turkey

hawa nimewakuta hapa
Hawa wote ni waarabu wamejivika uraia wa Tz. Mtoe Mengi waliobaki waarabu. Huwezi jilinganisha na akina asas
 

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
2,338
Points
2,000

matunduizi

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
2,338 2,000
Wakati mwingine una ka akili

sasa kwa mfumo ambao uko chini ya chama chako cha mafisadi mut mwinyi asili ya Msoga anaenda kuwa tajiri saa ngapi-kila kitu mnaendesha kwa matamko
Ametoa mfano wa Uongo mkuu.
Uchumi wa US 99% kama sio 100% unashikiliwa na wageni, wahamiaji. wenyeji wahindi wekundu hawana tofauti na wasandawe wa singida tu.

Tukichambua kisiasa suala hili badala ya kiuchumi na kisaaikolojia tutakwama mapema
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,391,790
Members 528,461
Posts 34,089,137
Top