Wachache sana wana amani ya moyo Tanzania

Wachache sana wana amani ya moyo Tanzania

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,977
Reaction score
45,834
Ni wachache sana ambao wanapokea simu yeyote ngeni bila kuogopa

Ni wachache sana wanaopewa appointment wakaenda bila hofu

Ni wachache Sana wasiokuwa na wasiwasi endapo jamaa zao wakichelewa kurudi kazini

Ni wachache Sana ambao wanaandika ndani ya Mitandao bila kuogopa

Ni wachachache sana wenye uwezo wa kufanya kazi yao kwa weledi bila kushnikizwa

Ni wachache sana wenye uwezo wa kuona gari la askari linaelekea direction ya Nyumbani kwao wasiogope

Ni wachache sana wenye uwezo wa kufanya biashara wasipewe kesi za uhujumu uchumi
Ni wachache sana ambao wanaweza kuyatangaza mapato yao hadharan,

Ni wachache sana wanatoa maoni wakiwa huru

Hao wachache ni Wale watu wasiojulikana, wakijumuishwa na wapambe wachache wa viongozi wa juu

Hakika ni wachache

Britannica
 
Pia ni wachache Sana watakao changia kwenye Uzi kama huu kwasababu ukweli ni kwamba ni wachache wenye uhuru wakutoa mawazo yao ...
 
Tz yangu time will tell...................... Kila lenye mwanzo alikosi mwisho...................... Over😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Baada ya Mabeberu kuwachoka sasa mmeanza kuwalilia viongozi wa dini

Siamini km Viongozi wa dini wapo tayari kushirikiana na Wasaliti wa Nchi

Nani amelilia viongozi wa dini?

Viongozi wa dini ni Watanzania ni wajibu wao kupambana na jitu linaloitwa ccm na mamalia hamnazo kama wewe!

Na washaanza kuongea,hamnazo hamtakua na cha kujibu maana nyie ni majambazi!

Mnatakiwa kwenda kwao mkiwa mmepiga migoti yenu kuomba toba maana ni wezi na kila mtu anawajua mlichofanya!

Shame on all’ya’all!
 
Ni wachache sana wanao ukubali utawala huu wa awamu ya Tano. [emoji17][emoji17][emoji17]

Ni kweli mkuu,na hili wanalijua ndio maana wapo very terrified!

Wanafanya mambo ya aibu kwenye vitabu vya historia watabakia with all the wrong records!

Shame on these motherfvckers!

Na bwana mawe atakua na record mbaya mno 20yrs to come!

I wonder kutakua na topic yao maalumu inayoonesha walivyokua na wadudu vichwani,so shame!
 
What is this unaandika ujinga uongo! who can listen you !
Viongozi wa dini can't back up wasaliti wa nchi
Mlijiona check Bob's mnauweza umafia !

Ooh dictotor! And other nosense
Mwiteni dictotor ila anasomesha watoto wenu bure,no more upigaji and more still to come

Where have you reached now!

Wajinga mnatumika kuharibu Nchi yenu,mkishatumika mnatupwa km useless bags!

You will pay for this country for your hypocritical
Shame on you
Nani amelilia viongozi wa dini?

Viongozi wa dini ni Watanzania ni wajibu wao kupambana na jitu linaloitwa ccm na mamalia hamnazo kama wewe!

Na washaanza kuongea,hamnazo hamtakua na cha kujibu maana nyie ni majambazi!

Mnatakiwa kwenda kwao mkiwa mmepiga migoti yenu kuomba toba maana ni wezi na kila mtu anawajua mlichofanya!

Shame on all’ya’all!
 
What is this unaandika ujinga uongo! who can listen you !
Viongozi wa dini can't back up wasaliti wa nchi
Mlijiona check Bob's mnauweza umafia !

Ooh dictotor! And other nosense
Mwiteni dictotor ila anasomesha watoto wenu bure,no more upigaji and more still to come

Where have you reached now!

Wajinga mnatumika kuharibu Nchi yenu,mkishatumika mnatupwa km useless bags!

You will pay for this country for your hypocritical
Shame on you

Ongea Kiswahili tu,Kiingereza hukiwezi!

Kiswahili nacho hukiwezi vile vile!

Dictotor=Dictator
Nosense=Nonsense!
Mwiteni=Muiteni

Nani kapiga serikali?

Mimi au CCM?Mbowe au CCm?

Chadema au CCM?

You are the number one hypocrite!

CCM muile serikali tangu mwaka 1961 mpaka leo halafu unakuja kutanua mitako hapa unasema Chadema ndio imekula nchi?Mzima wewe kiazi?

Mbuzi wa maziwa wewe!

Na serikali inasomesha watoto wa nani?Inasomesha watoto wako wewe!

Usi generalize!Watoto wangu hawasomeshwi na mtu!

Na nani kakwambia kuna shule ya bure Tanzania?

Hakuna shule ya bure mbwa nyie!

Endelea kunyonya uchi wa bwana yako huko!

Get on yo’ knees,suck it you silly hoe!
 
Mmh..
 
Back
Top Bottom