Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Havina mikakati na watu makini wanaojua siasa!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,127
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.

Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.

Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi na vimetawaliwa na mediocres ambao hawana vision yoyote zaidi ya kulalamika na kutafuta huruma ya jamii ndani na nje ya Nchi.

Vyama hivi havina ubunifu,hata miradi midogo midogo hawana ambayo ingewasaidia kuendesha vyama na kuwafikia wananchi wengi mno hasa wa ngazi ya chini.

Vyama ambavyo havijui vina wanachama wangapi, wako wapi, wanafikiria nini na wanafanya nini haviwezi kupambana na CCM hata kidogo.

Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.

Vyama hivi sasa vimebaki kuendeshwa kishabiki na kwa hisia kwa kuzingatia jamii iliyoko kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook n.k.

Vimebaki kutegemea mawazo ya akina kigogo2014 kuendesha siasa zao.

Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.

Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!
 
Yaani ww ni punguani mtu usiyeshirikisha akili yako pindi unapofikiria mambo ya msingi! tume ya chama kimoja!rais ndiye malaika wa kila kitu tunahitaji rasimu ya katiba ya warioba kupata tume huru isiyoegemea chama kimoja tuone huo mkakati unaozungumzia ni upi? Huwezi kuzuia democracy huku unajinasibu wewe uko upande wa wanyonge, chama cha mapinduzi siyo tuuu... kipo ICUbali ni tayari kipo mochwari kinasubiria kuzikwa.siku chama cha mapinduzi kitafanya uchaguzi wa kidemokrasia kijiandae kukabidhi dola
 
Umesema vyama vyote lakini ukakazia hasa CHADEMA ndio hakina mikakati kabisa ukilinganisha na vyama vingine vyote kama UPDP, CUF, UDP, TLP nk. Swali langu ni hili, ilikuwaje mlileta madiwani hadi wa Comoro kuja kuchagua Meya wa DSM na bado mka angukia pua kama CDM inapitwa na SAU kimikakati? Sawa tumekuelewa kwamba bila kutaja CHADEMA post yako haulipwi Lumumba. Nyambafu wewe ulitungwa mimba siku ya mbio za mwenge.
 
Haahaa haaaa nimecheka sana huu uzi wako, eti wanategemea mikutano ya hadhara. Kama rais naye anashinda kwenye TV ili wananchi wamuone, kuna kosa gani nao wapinzani wakitaka mikutano ya hadhara wananchi nao wajue wana mipango gani? Kichekesho kingine, eti kwenye mitandao kuna watu laki 6 na ndio wanashawishi watu wasijiandikishe.

Sasa kama watu laki 6 wanaweza kushawishi watu wengi hivi wasiojiandikishe, kwanini msiangalie ni sababu gani wanazotoa kikundi hicho kidogo hadi kushawishi watu wengi hivyo kuliko nyie wenye vyombo vyote vya media mpaka vya dola? Unadhani karne hii bado mnaweza kupata watu wanaosujudia siasa za kishenzi?
 
Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.
Kwa hiyo mkaona dawa ni kupiga marufuku mikutano ya hadhara, kuzuia mikutano mingi ya ndani na kumuweka muroto kuzuia maandamano hata kama katiba inaruhusu.

Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.

Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!
Mnawaitaga makamanda nyuma ya keyboard kumbe wana influence. Cha ajabu sioni ukisema chochote kuhusu wanmtandao waliokunywa maji na takataka nyingine za kijani kama wewe ambao mnashinda hapa na propaganda zisizo kuwa na kichwa wala mguu.
Kwa sasa mkuu nenda huko ukamuokoe Jafo kwani hakuna anayejua anatupeleka wapi kila akiamka anakuja na msimamo kinzani ya msimamo wake ulio tangulia.
 
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.

Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.

Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi na vimetawaliwa na mediocres ambao hawana vision yoyote zaidi ya kulalamika na kutafuta huruma ya jamii ndani na nje ya Nchi.

Vyama hivi havina ubunifu,hata miradi midogo midogo hawana ambayo ingewasaidia kuendesha vyama na kuwafikia wananchi wengi mno hasa wa ngazi ya chini.

Vyama ambavyo havijui vina wanachama wangapi, wako wapi, wanafikiria nini na wanafanya nini haviwezi kupambana na CCM hata kidogo.

Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.

Vyama hivi sasa vimebaki kuendeshwa kishabiki na kwa hisia kwa kuzingatia jamii iliyoko kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook n.k.

Vimebaki kutegemea mawazo ya akina kigogo2014 kuendesha siasa zao.

Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.

Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!
Another rubbish from lumumba buku saba.
 
Wanasiasa wetu, wanalojua nijazba, kutukana, kupiga kelele za ovyo na kutunga uongo. Tz hakuna wanasiasa si upinza wala chama tawala
 
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.

Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.

Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi na vimetawaliwa na mediocres ambao hawana vision yoyote zaidi ya kulalamika na kutafuta huruma ya jamii ndani na nje ya Nchi.

Vyama hivi havina ubunifu,hata miradi midogo midogo hawana ambayo ingewasaidia kuendesha vyama na kuwafikia wananchi wengi mno hasa wa ngazi ya chini.

Vyama ambavyo havijui vina wanachama wangapi, wako wapi, wanafikiria nini na wanafanya nini haviwezi kupambana na CCM hata kidogo.

Hivi vyama viache kuwapotezea watu muda kwani nje ya mikutano ya hadhara na maandamano havina lolote kabisa.

Vyama hivi sasa vimebaki kuendeshwa kishabiki na kwa hisia kwa kuzingatia jamii iliyoko kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram, Facebook n.k.

Vimebaki kutegemea mawazo ya akina kigogo2014 kuendesha siasa zao.

Vimeshindwa kutambua kuwa jamii ya wanamitandao hapa Tanzania hawazidi laki 6 kati ya Wapiga kura takribani milioni 20.

Na hawa wanamitandao wengi wao ni wasomi uchwara ambao hawajui umuhimu wa siasa na ndio walio- create hii mentality ya kususia chaguzi na hata ku-discourage watu kujiandikisha kushiriki michakato ya kisiasa!
Mkuu umenena vizuri sana. Na ikitokea Bunge likabadili sheria ya kutoa ruzuku kwa vyama, si Chadema wala ACT-Wazalendo, wala CUF kitakachobaki hai. Yaani wamebweteka tu kusubiria ruzuku ya serikali. Halafu wanawahadaa 'wasomi wao uchwara' wa mitandaoni eti watachukua nchi!! Labda wakachukue sungwi porini!!
 
Umesema kweli japo inauma
 
Mkuu hii nondo ya ukweli wapinzan itumieni itatusaidia wananchi kuwa na upinzani wa kweli

Back
Top Bottom