Channel 10 za You tube Tanzania za kuziangalia muda wote

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,747
Naweza kusema kumekuwa na utitiri wa akaunti za video za YouTube kwa sasa hapa kwetu. Wengine hufanya akaunti nyingine zionekane wote ni wale wale. Kuna wale wazee wa kuweka Heading mbovu ili ukaangalie yeye anachojali apate views tu na sio maudhui. Wazee wa Usisahau kulike, kucomment na kusubscribe, Ilikuwa wa kwanza kupata habari bonyeza hahahahha

Akaunti za YouTube zimegawanyika kuna Michezo, Habari za Udaku, Siasa, Burudani, Inspiration, Afya, Technology etc,

Kwangu hizi ndio Akaunti za YouTube ambazo hupenda kufatilia kutokana na Maudhui yao, Taarifa zao, pia Watu wanaotangaza au kusoma,kuchambua story/ habari wako poa. Hapa sizungumzii zile zinazomilikiwa na Media, kama Clouds Media, Wasafi Media, EATV

1. Millard Ayo
2. SnS au Simulizi na Sauti
3. Sam Misago
4. Lil Ommy TV
5. Joti TV
6. Bongo 5
7. Mwananchi Online
8. Global Publishers
9. Shafii Dauda

hii ni kwa maoni yangu, hizo hapo mbili juu ni kali sana, hasa SnS (Simulizi na Sauti) baadae watakuja fanya mambo makubwa sana, Chaneli yao ni kama kituo cha Television kutokana na Content walizonazo ambazo kuna baadhi ya TV hapa kwetu hawana Big Up to Skywalker Fredrick Bundala
10.
 
Geah Habib
Yanga TV
 
Back
Top Bottom