Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Nauliza swali hili very technically
Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza
Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe alisema
"Nimetumiwa ujumbe baada ya kukosoa elimu ya mtu mkubwa na nikaambiwa andika Ben Saanane...
Hivi wabunge wa Tanzania mkataba wao ukoje. Hawa ni wawakilishi wa wananchi na wananchi ndio huwatuma bungeni sasa kuna dhambi gani wananchi kuwatumia au kuwaandikia maswali wawakilishi wao ili wakaulize bungeni kwa niaba yao? Kwanini Spika alimkataza mbunge Devotha kuuliza swali kwa sababu...
Company: Britam Insurance Tanzania
Location: Tanzania
State: Dar Es Salaam Jobs
Job type: Full-Time
Job category: Administrative/Secretarial Jobs in Tanzania
Job Purpose and Key responsibilities
The role holder will be responsible for processing and payment of general insurance claims. The...
Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa!
Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia...
Roma Mkatoliki amerudi upya jamani.
Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma".
Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua.
Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema;
"Kwetu...
IGP SIRRO ATOA ONYO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
"Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale kabla hujafika mbali na kwenda kuleta madhara kwa watu wasio na hatia,- Mkuu wa Jeshi la Polisi...
Tanzania mpaka sasa tuna marais wastaafu watatu ukiacha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetangulia mbele za haki.
Hawa marais wastaafu ni wazoefu na wajuzi sana wa mambo kupitia uzoefu wa kuongoza nchi kwa miaka kumi kila mmoja.
Swali huo uzoefu, maarifa na ujuzi wao umesaidia...
Habari za leo
kwanza kabisa nipongeze jitihada za dhati zinazofanyika kuondosha na malaria pamoja na magonjwa yanayotokana na Mbu
katika safari zangu hivi karibuni nimesikia habari ambayo imenivutia na inaonyesha pengine tukiwapa nafasi wataalamu wetu binafsi pamoja na taasisi wanaweza...
Wasalaam,
Kuna tatizo la kimsingi la waandishi wetu wa habari, huenda ni kwa utashi, au uoga au muono pofu.
Hoja ya Bwana Mkapa Jana imesulubishwa na kijihoja Cha kutakiwa kuuwawa kwa bwana mmoja! Nadhani waandishi walitakiwa ku -capitalize kwenye hoja za mleta hoja lakini wengi wao wameacha...
SIku 2 TU zimebaki
Je umeshachagua Jina la Sayarinje ya Tanzania (Name of Tanzania Exoplanet)
Tanzania tumepewa fursa ya kuipa jina sayari iliyogunduliwa karibuni kuzunguka nyota. Angalia maelezo yake hapa katika tovuti hii
Nenda kwenye tovuti hii kupata fomu ya kupiga kura kuchagua matatu...
Wakuu, hawa jamaa walitangaza hizi kazi mwezi wa nne
Hivi walishaita watu kwenye usaili, maana nimejaribu kufuatilia sijaona tangazo lolote likiita watu kwa usaili na muda umepita sana au mimi ndo sina taarifa?
Asante.
Nimesafiri na kuishi nchi mbalimbali duniani, ila nchi yetu si maarufu sana, yaani Zanzibar na Mountain Kilimanjaro ndio watu wanavijua, Tanzania hawaijui.
Nahisi makosa yalifanyika katika kulichagua jina la nchi enzi hizo, japo nasikia toka awali huko ilishapendekezwa nchi iitwe Kilimanjaro...
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari fulani wakati wanahabari wa vyombo hivyo wakimhoji Juma Mgunda kuhusu kwanini wamemuacha Manula kwenye kikosi cha timu ya Taifa. Waandishi hao wanalazimisha ionekanane kama vile Manula kaonewa kuachwa kwenye kikosi, yaani wanachanganya na unazi wa timu...
Rais Magufuli akiwa kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mzee Benjamin Mkapa amefunguka mambo makubwa mno hajawahi kuyasema popote, mambo aliyoyasema ni pamoja na utendaji kazi wake uliomkosha Mzee Mkapa, Kuchukiwa na mawaziri na viongozi wengine wakubwa mpaka kunyweshwa...
Founded in 1962, Tanzania Red Cross Society has extended humanitarian services in helping those in need both Tanzanians and refugees from neighbouring countries. Over 50 years of its existence, the National Society is on “A Paradigm Shift”, looking from different perspectives to develop...
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.
Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.
Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
ccm
chadema
haki
jafo
katiba
katiba ya tanzania
matokeo
mawazo
miti
nyumba
serikali
serikali za mitaa
sheria
tamisemi
tanzania
uchaguzi
upinzani
vyama
wote
Naweza kusema kumekuwa na utitiri wa akaunti za video za YouTube kwa sasa hapa kwetu. Wengine hufanya akaunti nyingine zionekane wote ni wale wale. Kuna wale wazee wa kuweka Heading mbovu ili ukaangalie yeye anachojali apate views tu na sio maudhui. Wazee wa Usisahau kulike, kucomment na...
Na Mwamba wa Kaskazini
Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa.
Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.