Tanzania kuna shida kubwa!


Hii ni ujinga sasa. Kuabudu binadamu ndio kitu cha ujinga kabisa binadamu anaeza fanya maishani mwake. Hii imenifanya nikabadilisha mawazo kuhusu Watanzania. Bado mna kazi sana ndugu zetu. Nawaombea mpate uhuru maana bado hamna uhuru kama lazima usujudu na kupiga magoti mbele ya binadamu. Hii ni upuzi ya hali ya juu sana. Nimeudhika na hio video.
 
Hii ni ujinga sasa. Kuabudu binadamu ndio kitu cha ujinga kabisa binadamu anaeza fanya maishani mwake. Hii imenifanya nikabadilisha mawazo kuhusu Watanzania. Bado mna kazi sana ndugu zetu. Nawaombea mpate uhuru maana bado hamna uhuru kama lazima usujudu na kupiga magoti mbele ya binadamu. Hii ni upuzi ya hali ya juu sana. Nimeudhika na hio video.

Wewe mbona unaabudu upepo na mizimu ya Kiyahudi?
 
Kuna upande mwingine usioujua, sikiliza :

"Siasa ni Rufaa ya Sauti ya Watu (jamii)" - John Shibuda.


Source: Kwanza TV
 
Wewe mbona unaabudu upepo na mizimu ya Kiyahudi?

Ni akili ndogo tu unapaswa kutumia kujua serikali ya wanyonge imejaa uongo na hadaa ndio maana haitaki fair ground politically watu kuwachallenge maneno yao ya uongo.

Kwa wastanI tra hukusanya tr 1.3 kwa mwezi(1.3x12months)=15.6(hii ni maximum estimation ila actual hua ni chini ya hapo).

Non tax revenue hua haizidi tr 2 kwa mwaka, jumla at maximum hua ni tr 18 ya makusanyo ya ndani. Bajeti ni tr 32, angalia pungufu ni ngapi hapo.(32-18)= 14/32x100%=43.73

Kwenye hiyo actual kuna almost trillion 7 za mishahara ya watumishi wa umma kwa mwaka, inabaki 11, kuna kulipa deni la mikopo kwa mwkaa hua ni kama tr 8 hadi 9, bado other charges kama operating expenses.

Mwisho wa siku unaona hata mapato ya ndani hayatoshi kulipa mishahara na matumizi mengine, sasa hizo unazosikia ni za ndani kwenye miradi zinatoka wapi? Obvios ni mikopo tu na misaada.

Ni wajinga tu wanaweza kukubali au kuelewa kua tunafanya kwa pesa zetu za ndani ila sisi analysts tunajua na hatuwezi kukubali, tunaitwa sio wazalendo, hii serikali ya wanyonge ukitumia akili kuhoji unaitwa sio mzalendo, uzalendo kumbe ni kua taahira, mtu mpumbavu unaekubali lolote bila kuuliza.
 
Kuna upande mwingine usioujua, sikiliza :

Siasa ni Rufaa ya Sauti ya Watu


Source: Kwanza TV

Wana bodi ni ukweli kwamba serikali na kundi lake wameamua kutudanganya kwamba miradi inaendweshwa kwa fedha za ndani bila hata aibu.

Tunapo sema fedha za ndani tuna maana kwamba ni zile tunazo kusanya kupitia TRA, taasisi za serikali kama TCRA, polisi , mahakama etc.

Wakati mawaziri wa africa na nordic walipotembelea ujenzi wa SGR waziri wa mambo ya nje wa nigeria alisema si vibaya kusema tumejenga kwa mkopo kwa sababu bado ni mradi wenye nia njema kwa nchi na africa kwa ujumla baada ya kusikia tunasema tunajeng kwa fedha za ndani kitu ambacho hata mtoto mdogo hawezi kukubali.

Nirudi kwenye issue ya deni la taifa.

Nimejiuliza sijapata jibu deni hili linakuzwa na ahughli zipi?

Mfano

SGR inagharimu TR 7
Ndege zimeghatimu tr 2
Rufiji nayo kama Tr7

Haya ndio mambo ninayo yajua kwamba yametumia fedha nyingi.

Zingatia pia hakuna mradi ambao umeisha ukiacha ndege.

Ongezeko la tr 20 kwa miaka minne kuna uwalakini sana yamkini tunalishwa maneno ya uongo wakati hata mishahara inalipwa kwa fedha za mikopo kutokana na matumizi mabaya ya fedha.

Kwa nchi maskini kama hii mtu anapata wapi udhubutu wa yeye na mke wake kutembea na viburungutu vya mil tano tano na kugawa na njugu?


Watanzania tutadanganywa hata lini?

Mwenye uelewa zaidi wapi fedha hizi tr 20 zimika atujuze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom