tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100 ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ya fidia ya kodi

    Kampuni ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi. Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick...
  2. Ole

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inflation Stable

    Credit: Dorothy Ndalu - The East African ''Cost of living remained low in Tanzania in March despite the economic challenges brought on by the Covid-19 pandemic with the 12-month headline inflation easing to 3.4 per cent from 3.7 per cent in February. The Bank of Tanzania monthly economic review...
  3. Ole

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Investors' Appetite On 20-Year Treasury Bonds High

    ''INVESTORS' appetite on the 20 years Treasury bond auctioned last week was high making the instrument to end the trading session oversubscribed. Through the debt instrument auctioned by the Bank of Tanzania (BoT), the government wanted to raise 117bn/-but the amount tendered jumped to...
  4. M

    JamiiForums Tanzania How Tanzania is Overtaking Kenya as Regional Economic Powerhouse..

    It is no doubt Tanzania is strongly coming up as a real competitor and perhaps an emerging producer of the East African community. It is also true that the ease and cost of doing business in Tanzania is cheaper than it is in Kenya. Periodic electoral chaos in Kenya associated with ethnic...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania Haiwezi Kuendelea Ikiendelea na Siasa

    Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mashirika nane ya ndege yametangaza kurejesha safari zao za ndege za kuingia na kutoka mipaka ya Tanzania kuanzia Jumatatu ijayo

    Baadhi ya mashirika hayo yametangaza ndege zake kuanza safari zake Julai mosi kwa kutua Dar es Salaam, KIA, mkoani Kilimanjaro na Zanzibar, Kwa mujibu wa tovuti ya Rick shaw travel group, inayojishughulisha na usafirishaji watalii kwenda kwenye vivutio mbalimbali kwa takribani miaka 32, safari...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania Rapidly Closing its Economy gap with Kenya

    Kenya’s status as East Africa’s economic powerhouse is at stake as Tanzania races closely behind, with a higher growth rate that is increasingly narrowing the gap between the two economies. Tanzania has added impetus to its economic firepower, growing by an impressive seven per cent over the...
  8. mimitungi

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa kuvaa Barakoa na Social Distance kwa Tanzania, nisaidieni

    Nimetafakari sana kuhusu hali halisi ninayoiona kitaani kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Social distance ya mita 1 au zaidi ni usanii. Ukiingia kwenye daladala au kwenye masoko yetu hii kitu hakipo kabisa. Sasa kwanini tunazungumzia kitu ambacho practically kwa watu was chini hakiwezekani...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania CORONA: Bila mikakati mipya, Utalii Tanzania huenda ukashindwa kuinuka?

    Kuna mambo kadhaa ya kufahamu kwa kina kabla ya kujadili hili. Kwanza tuukubali ukweli huu kuwa, kusambaa kwa Corona duniani ndio kuliko pelekea kusimama kwa shughuli za utalii hapa Tanzania. Sio mtu, watu au mamlaka fulani iliyoamuru kusitisha shughuli za utalii hapa Tanzania. Watalii wenyewe...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Madereva watano wa Tanzania wakatiliwa kuingia Uganda

    Madereva 5 wa magari ya mizigo wamekataliwa kuingia Uganda baada ya kukutwa na maambukizi ya #CoronaVirus. Sampuli za watu 655 zilipimwa mpakani na madereva hao wakakutwa, na kukabidhiwa kwa mamlaka za Tanzania Awali, madereva walikuwa wanaruhusiwa kuingi nchini humo kabla ya kupatiwa majibu na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tuionyeshe kuwa Corona imedhibitiwa Tanzania

    Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:- 1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida. Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo. 2. Ugunduzi wa dawa lishe...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa maambukizi ya corona Tanzania ni mdogo

    Misongamano ni mikubwa na wanaovaa barakoa ni wachache sana. Kilichoshindikana hapa ni kuwa uelewa wa watu ni mdogo au serikali haijatoa elimu ya kutosha kwa jamii? Video ni mbadala wa nguo Kariakoo leo 24/05/2020
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Felicien Kabuga anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari ya Rwanda (1994) kusikilizwa Arusha, Tanzania

    Kesi ya Felicien Kabuga ambaye anashtakiwa kwa mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 inatarajiwa kusikilizwa hapa nchini Mwendesha Mashtaka Mkuu wa MICT, Serge Brammertz amesema kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa jijini Arusha, mahali ambapo Mtuhumiwa huyo alishtakiwa kwa makosa saba...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe: Mzalendo namba moja Tanzania

  15. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene amwagiza IGP kuwapangia kazi nyingine matrafiki wenye vitambi. Je, ni kosa askari kuwa na kitambi?

    Waziri Simbachawene amemwagiza IGP kuwaondoa trafiki wote wenye vitambi na kuwapangia kazi nyingine. Najiuliza, ipo sheria inayokataza trafiki kuwa na kitambi? Shughuli ya utrafiki Ni ngumu kuliko majukumu ya OCD, OCS na RPC? Natamani awamulike pia hao, ila pia tofauti na utrafiki kazi...
  16. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atwoli: DP Ruto should behave towards Uhuru like VP of Tanzania does towards JPM

  17. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Hii video inasadifu jambo katika taifa letu naiombea mema Tanzania

    Hii video inasadifu Jambo katika taifa letu.... Thank Lord Naona covid ikidunda Yaan kariakoo leo shangwe Kama lotee hakuna mask tenaaa Kikubwa Tuendelee kuchukua tahadhari zote Yasije yakatukuta aliyo tabiri zito kabwe
  18. M

    JamiiForums Tanzania Africa surpasses 100,000 coronavirus cases Kutoa idadi ya visa visivyojulikana Tanzania mentioned here.

    The continent has so far been spared in comparison with others but the worst could still be to come. Africa has now recorded more than 100,000 infections of the novel coronavirus, the Centers for Disease Control and Prevention (CDC) said Friday. More than 3,100 people have died from COVID-19 as...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Onions Suppliers from Tanzania

    Natokea Kenya nataka kuanza biashara ya vitunguu natafuta mtu atakaye nisaidia kupata supplier wa vitunguu kutoka Tanzania kwa bei nafuu. Asante
Back
Top Bottom