tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Cicero

    JamiiForums Tanzania World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

    The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs. Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma...
  2. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yazindua meli kubwa ya abiria katika ukanda huu wa Afrika

    Hatimaye Tanzania imefanya uzinduzi wa meli kubwa ya abiria Mv Mwanza hapa kazi tu, uzinduzi huu unarejesha safari za meli kati ya Mwanza na Bukoba baada ya miaka kadhaa kupita kufuatia ajali ya MV Bukoba kutokea, meli hii inasemekana ndio meli kubwa ya abiria Kusini mwa Jangwa la Sahara
  3. L

    JamiiForums Tanzania Pamoja na lockdown ya Corona, walikuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro Crater Tanzania

    Wazungu aka Mabeberu wana wivu sana, halafu wanataka kutuaminisha eti harakaharaka haina baraka na kutangulia sio kufika, kama sio wivu nini? Eti nimesikia miongoni mwa nchi 54 zilizoruhusiwa kuingia Ulaya Tanzania haimo. Huu ni wivu tu! Hawa sio wale waliokuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro...
  4. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaikopesha Tanzania zaidi ya Tsh. bilioni 500 kwa miradi ya REA na maji Mwanza

    Leo Bwana Dotto James kapokea mkopo mpya wa zaidi ya shilingi bilioni 500 toka ufaransa kwa ajili ya miradi ya umeme wa REA na miradi ya maji jijini Mwanza. Chanzo: RFA habari === Ufaransa yaipa Tanzania bil. 600/- za miradi mitatu SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD)...
  5. spencer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Southern Serengeti to host Africas largest Pioneer Disneyland theme Park

    Tunazidi kuwachapa za uso majirani. Hii ni baada ya Lion King kuleta mafanikio katika masoko. === Simiyu Region to host Africa’s pioneer Disneyland theme park Simiyu Regional Commissioner Anthony Mtaka told The Guardian yesterday that the mammoth facility is projected to cost 6trn/- and once...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: Saa ya mabadiliko ni sasa, si kwa Tanzania tu bali hata CHADEMA lazima ibadilike

    Mtia nia wa nafasi ya urais kupitia CHADEMA, Lazaro Nyalandu amesema saa ya mabadiliko imefika kwa taifa na chama chake cha CHADEMA. Nyalandu amesema endapo atapata ridhaa ya chama chake kugombea urais ataleta mabadiliko makubwa ndani ya CHADEMA na mabaraza yake. Chanzo: Clouds 360
  7. Swahili_Patriot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tathmini ya uwepo wa Corona Tanzania

    Ninaishi Sinza, ninatembelea sana sehemu za Kariakoo, Ilala, Mbezi, G/mboto, Mwenge, Morogoro nk. Ndani ya hii miezi mitano, nimeshuhudia kifo kimoja na familia nzima kupelekwa quarantine ila walipona na sasa nipo nao mtaani. Personally hivi nimevishuhudia. Tetesi zinasema kuwa Corona ipo...
  8. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Nimeanza ziara binafsi mikoa mbalimbali Tanzania Bara. Nitawaambieni hali halisi

    Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa. Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama zangu mwenyewe na safari zangu binafsi, leo nimeanza safari za mikoa mbalimbali hapa nchini kuangalia...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

    Kwa Kenya kutokuwemo kwenye hii orodha inaeleweka maana hali sio nzuri, hatufichi maradhi na tumekubali tunacho kirusi na tunapambana, hivyo kwa sasa inaleta mantiki kwa sisi kuzuiwa kuingia popote, ila kwa wenzetu Tanzania wao wameng'ang'ania kwamba ndio taifa pekee dunia lisilo na tatizo la...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Malawi: Kiongozi wa upinzani, Lazarus Chakwera ashinda Uchaguzi

    Maelezo ya picha Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera ameshinda duru ya pili ya uchguzi wa urais, maafisa wanasema. Alimshinda rain aliyekuwa rais wa nchi hiyo...
  11. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awashangaa Wazaramo Jokate kutokuolewa

    Je, huu ni Utani wa kweli wa Kimakabila yetu nchini Tanzania au ni Utani wa Kutamani kweli huku Ukitega kuangalia anayetaka Kukuzidi Kete kwa Mrembo? " Hata Mkuu wa Wilaya wa hapa amefanya kazi nzuri katika kuondoa Zero, ninachowashangaa watani zangu Wazaramo hajaolewa, lakini mnashindwa...
  12. Irenga

    JamiiForums Tanzania Gwambina Football Club yapanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21

    Gwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha United hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg. Alexander Mnyeti hatimae imepanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara musimu wa mwaka 2020/21 baada...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?

    Membe anahoji: "Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru? Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo ina watu wa aina zote. Wa dini zote, vyama vyote, aina zote za Elimu, Wanasiasa Maarufu bila kujali...
  14. E

    JamiiForums Tanzania TCRA Tanzania kwa haya yanayofanywa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa wateja wanaotumia simu janja yako sawa?

    TCRA tanzania, naomba mnisaidie kujua kama mambo yanayofanywa na kampuni ya simu ya vodacom tanzania nisahii! Nakama nisahii mtupe ufafanuzi, kama siyo sahihi mkomeshe jambo hili na muwaagize warudishe gharama tulizotumia katika huduma ambayo kimsingi ni haki kwa mteja kuipata bila gharama...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Serikali mnaziona Magufuli joging Clubs? Je, kukianzishwa Mbowe jogingi club msimu huu kutakuwa na makosa ya Kisheria?

    Ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kumeshaanzishwa magufuli jogingis ushahidi Ni channel ten. Naomba kuuliza taasisi za serikali za kiulinzi na kisheria CHADEMA wakifanya hivyo litakuwa kosa? CHADEMA wameminywa hawana watetezi sisi wapenda haki tusioegemea upande wowote tunauliza...
  16. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuboresha miundobinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa

    Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora katika nyanja za masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa. Ukizingatia project hizi...
  17. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kutengeneza account ya paypal katika nchi zisizokubali ikiwemo Tanzania

    Habari, wakuu. Natumai muko wazima na afya kamili. Ninapenda kuwajuza ya kwamba natoa ofa ya kutengeneza business account ya paypal na kuweza kupokea hela straight katika credit card yako au katika acount yako ya mpesa kupitia M-PESA MasterCard. Hii itafanya kazi duniani kote bila ya usumbufu...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini majirani zetu na Washirika (Kenya, Uganda na Rwanda) COVID-19 inazidi tu kuwatesa lakini Tanzania wala hatuna habari nayo?

    Je, 1. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana duniani kuliko nyinginezo? 2. Tanzania ina Raia ambao wana Kinga za Mwili Kali sana? 3. Kenya, Uganda na Rwanda hakuna CORONA kihivyo ila wanazidisha tu Idadi 24/7 ili wapate Pesa za IMF na WB? 4. Ile Sindano ya NDUI tuliyoipiga miaka ya 80 wakati wana...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hisa Tanzania, faida inapatikana?

    Nimeshawishiwa ni wekeze kwenye hisa, naambiwa hii ndio future. Wale mliowekeza huko, future mmeisha iona? Je, ni mahala sahihi kuwekeza?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Think tanks wa Tanzania ni wasanii

    Think tanks: a body of experts providing advice and ideas on specific political or economic problems of a nation. Hawa ndio Bunge lijalo ndio watajaa maana kila moja anataka kwenda bungeni! sijui Mdee, Harmonise, Steve , Master J ...you mention them! and many many others! Our Think Tanks!
Back
Top Bottom