Tanzania yazindua meli kubwa ya abiria katika ukanda huu wa Afrika

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Hatimaye Tanzania imefanya uzinduzi wa meli kubwa ya abiria Mv Mwanza hapa kazi tu, uzinduzi huu unarejesha safari za meli kati ya Mwanza na Bukoba baada ya miaka kadhaa kupita kufuatia ajali ya MV Bukoba kutokea, meli hii inasemekana ndio meli kubwa ya abiria Kusini mwa Jangwa la Sahara

 
Ebu rekebisha yafuatayo:-

1. Meli hii ni New Mv Victoria na siyo Mv Mwanza
2. Uliofanyika siyo uzinduzi ni safari ya majaribio.
3. Meli ya Mv Bukoba ilizama zaidi ya miaka 25 iliyopita lakini Mv Victoria ilisitisha safari zake miaka 7 iliyopita.
4. Meli hii siyo meli kubwa zaidi ya abiria kusini mwa jangwa la sahara.
 
Unapoanza kuandika tulia Kwanza na uatafakari wasomaji wa taarifa yako ni level gani ya ufahamu.Huwezi kujiandikia hovyo hovyo Tu as if wasomaji wako hawana any information except you, pls be smart. Otherwise we got your point and thanks.
 
Back
Top Bottom