Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Nimeanza ziara binafsi mikoa mbalimbali Tanzania Bara. Nitawaambieni hali halisi

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,051
2,000
Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa.

Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama zangu mwenyewe na safari zangu binafsi, leo nimeanza safari za mikoa mbalimbali hapa nchini kuangalia upepo na mtifuano wa vyama pamoja na wagombea majimboni na katani. Naahidi, kwa uazalendo na ukweli, nitawaletea hapa mrejesho.

Kwakuwa nyumbani ni muhimu, niko njiani kuelekea mkoa wa Ruvuma nikiianzia ziara yangu Wilayani Songea. Nitawaarifu kama yaliyomo na yanayosemwa yamo kweli au la. Kama kada mwandamizi wa CCM natamani kukuta CCM ikitamalaki kila mkoa na kujihakikishia ushindi wa kishindo bila nyundo wala nyendo hapo Oktoba mwaka huu. Kaeni mkao wa kujua ukweli.

Kuchukua wake za watu sasa ni kosa la kusababisha kutumbuliwa?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Songea, Ruvuma)
 
ligend

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
323
1,000
Hiyo pesa yako utakayotumia ni bora ukawape wenye huitaji na mungu atakubariki, ila kama unataka sifa kwa wana jf fanya utakavyo.
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,320
2,000
Kila la kheri Mzee Tupatupa

Kuchukua wake za watu sasa ni kosa la kusababisha kutumbuliwa?
Kuna vingi vya kushare ila sio hicho mzee...Tatizo mabaharia huwa wanahadithia sana wakishaonja hicho kitu kwa mtu mwenye hadhi fulani...
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
1,883
2,000
Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa.

Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama zangu mwenyewe na safari zangu binafsi, leo nimeanza safari za mikoa mbalimbali hapa nchini kuangalia upepo na mtifuano wa vyama pamoja na wagombea majimboni na katani. Naahidi, kwa uazalendo na ukweli, nitawaletea hapa mrejesho.

Kwakuwa nyumbani ni muhimu, niko njiani kuelekea mkoa wa Ruvuma nikiianzia ziara yangu Wilayani Songea. Nitawaarifu kama yaliyomo na yanayosemwa yamo kweli au la. Kama kada mwandamizi wa CCM natamani kukuta CCM ikitamalaki kila mkoa na kujihakikishia ushindi wa kishindo bila nyundo wala nyendo hapo Oktoba mwaka huu. Kaeni mkao wa kujua ukweli.

Kuchukua wake za watu sasa ni kosa la kusababisha kutumbuliwa?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Songea, Ruvuma)
Safi sana fanya hivyo mkuu ingawa mimi na wewe tunatofautiana kiitikadi (hii ni haki yetu kikatiba) always FACTS zikutangulie,fika huku kwangu Lingusenguse,usisahau kupitia Mtakanini,Likuyufusi,Matemanga,Lumecha,Nyalamatata,ohoo mpika kule walikoishi wakimbizi njia ya kwenda Hanga,Mpitimbi etc etc na elewa ukipindisha ukweli ,utajidhalilisha na kupoteza heshima yako.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,221
2,000
Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa.

Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama zangu mwenyewe na safari zangu binafsi, leo nimeanza safari za mikoa mbalimbali hapa nchini kuangalia upepo na mtifuano wa vyama pamoja na wagombea majimboni na katani. Naahidi, kwa uazalendo na ukweli, nitawaletea hapa mrejesho.

Kwakuwa nyumbani ni muhimu, niko njiani kuelekea mkoa wa Ruvuma nikiianzia ziara yangu Wilayani Songea. Nitawaarifu kama yaliyomo na yanayosemwa yamo kweli au la. Kama kada mwandamizi wa CCM natamani kukuta CCM ikitamalaki kila mkoa na kujihakikishia ushindi wa kishindo bila nyundo wala nyendo hapo Oktoba mwaka huu. Kaeni mkao wa kujua ukweli.

Kuchukua wake za watu sasa ni kosa la kusababisha kutumbuliwa?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Songea, Ruvuma)
Ccm mmekuwa na wasiwasi mkubwa sana hata baada ya yote mnayojitapa mmefanya miaka yote, sielewi ni kwanini hamjiamini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom