Think tanks wa Tanzania ni wasanii

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,971
Think tanks: a body of experts providing advice and ideas on specific political or economic problems of a nation.

Hawa ndio Bunge lijalo ndio watajaa maana kila moja anataka kwenda bungeni! sijui Mdee, Harmonise, Steve , Master J ...you mention them! and many many others!

Our Think Tanks!
 
Hushangai kila jambo muhimu linatengenezewa nyimbo... Korona, Mabank, TRA, utendaji serikalini vikitangazwa eti lazima viimbwe!!!
Ujinga ujinga tuu ndio huchochea umaarufu bongo nahii huonesha kiwango cha ujinga tulichonacho
 
Hivi CCM wakiwaalika wasanii kwenye kampeni zao huwa wana hakika hao wasanii wanaweza kuwashawishi wapiga kura waichague CCM? binafsi naamini wapiga kura huwa wanakwenda kwenye hiyo mikutano kuona show za bure, halafu CCM wanatumia kigezo cha kujaza watu kwenye mikutano yao kuiba kura na kujitangaza washindi.
 
Umeongea hoja ya msingi. Mpiga kura atamchagua mgombea kwa vile diamond katumbuiza siku ile? Ujinga ujinga tu!
 
Back
Top Bottom