tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Media za Tanzania hazina uwezo wa kujitengenezea vipaji ?

    Imebidi niulize , maana huko waendako wanaelekea kulogana , B Dozen kang'olewa Clouds na sasa Musa Husein naye yuko mbioni . Hivi haiwezekani media hizi zikafanya kazi na watangazaji wapya kabisa na zikatoboa ? hii tabia ya kupora watangazaji kwa kuwaongeza dau imetokea wapi ?
  2. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupanda kuwa uchumi wa kati chini: Mkapa amechangia 194%; JK 96% na Magufuli 10%

    Hapa chini ni historical trend (source ni World Bank) ya ongezeko la per capita income kwa Tanzania kuanzia awamu ya 3 (Mkapa), halafu ya 4 (JK ) hadi ya sasa ya 5 (Magufuli). Ni wazi kuwa kila rais katika awamu hizo 3 amechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi muhimu ya kuachana nayo mwaka 2020 ili kuendana na Tanzania ya Uchumi wa kati

    1. Achana na matumizi ya anasa na vitu vya gharama kubwa.Mbobezi wa masuala ya uchumi Robert Kiyosaki anasema " Matajiri kununua vitu vya anasa mwishoni wakati masikini hununua vitu vya anasa mwanzoni". 2. Acha urafiki na watu masikini. Watu masikini hapa ni wale wasio na hamasa. Hakikisha...
  4. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania bado inahitaji Rais kama Magufuli?

    Kama ilivyo ada na kwa jinsi hali ya hewa ya siasa ilivyo kwa sasa ni wazi kabisa kwamba sasa ni Rasmi JPM ndiye mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Tunatambua kuwa JPM anayo nia, sababu na uwezo wa kuhakikisha kwamba anabaki madarakani katika kipindi kingine cha miaka mitano. Mengi...
  5. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

    Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa. 1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa 2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena. 3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa...
  6. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Historic Investment On Dar Ports

    Credit:Rodgers Luhwago - Daily News ''IF one were to take stock on the level of financial investment poured on the country's ports since independence, he would conclusively find that President John Magufuli's first phase of administration has done an outstanding job. One of the areas that the...
  7. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Tembo Botswana wanakufa, Je, Tembo wetu Tanzania wapo salama?

    Hundreds of elephants found dead in Botswana Credit: Mystery as hundreds of elephants found dead Mystery surrounds the "completely unprecedented" deaths of hundreds of elephants in Botswana over the last two months. Dr Niall McCann said colleagues in the southern African country had...
  8. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Chungeni mambo ya Eurobond

    Nawapongeza Watanzania kwa kupata status ya middle income country. Lakini nataka niwaonye kuwa kuna tatizo moja kubwa mtakayo kumbana nayo. Mtaweza kuomba mikopo yoyote ile na kuipata kwa urahisi sana sio kama zamani ambapo masharti yalikuwa mazito. Pia mtaweza kupata commercial loans kutoka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Tanzania kuingia nchi za uchumi wa kati, bado inaendelea kuwa katika kundi la Nchi Masikini Kuliko Zote Duniani (LDC)

    NI kweli hakuna cha kushangilia wala kujisifia kwamba sasa tumekuwa katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati. Kumbukeni kwamba watu hao hao wanaosema Tanzania sasa iko uchumi wa kati, ndio wanaotoa vigezo vya kuendelea kuiweka Tanzania katika kundi la Nchi Masikini Kuliko zote Duniani (LDCs)...
  10. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaani Kenya ipo desperate na mambo ya Tanzania mpaka inashangaza

    Inashangaza kiukweli, Hakuna media ya Kenya iliyoripoti kuhusu Tanzania kuingia kwenye kundi la MIC ila media zao zipo busy kutafuta negative news about us au plotting fake worse news on us. Kutokana na kukaukiwa kabisa kwa habari mbaya na potofu kuhusu Tanzania, walivyo wapumbavu wamekuja na...
  11. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa Taasisi za kifedha za kimataifa zinataka kufanya kazi na Rais Magufuli, zimempigia kampeni bila kificho

    World Bank wameikopesha Tanzania mabillioni ya shilingi na wao furaha yao ni kuona wanalipwa hela zao kama zilivyo Taasisi zingine za fedha ambazo zingependa wateja walipaji wazuri, imeelezwa kuwa tangu Rais Magufuli aingie ameonyesha nidhamu ya hali ya juu sana kwenye ulipaji wa madeni ya...
  12. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

    Jumatano tarehe 1 Julai, 2020 Benki ya Dunia iliitangaza rasmi nchi ya Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 Hakika hii ni jambo la kufurahiwa na kila mtanzania kama alivyosema Rais wa Jamhuri...
  13. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya uchumi mdogo wa kati Tanzania: Kwa sasa Mtanzania kwa mwezi ana kipato cha shilingi 206,000/- kwa mwezi sawa na shilingi 6,900 kwa siku

    Tanzania kuorodheshwa kati ya nchi zenye kipato kidogo cha kati kwa kutumia taarifa za mwaka 2019 ni kuonyesha kuwa kipato cha Mtanzania kimekuwa kati ya dola 1,036 hadi dola 3,045 kwa mwaka kutokana na ripoti ya uchumi wa nchi kwa mwaka 2019. Hii inamaana kuwa sasa mtanzania ana uwezo wa...
  14. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, unaijua mikataba ya Haki za Binadamu ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini?

    MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA) Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa...
  16. mwathadan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa port records increased cargo destined to Tanzania, South Sudan and the DRC Congo in the first four months of the year

    The Mombasa port has recorded increased cargo destined to Tanzania, South Sudan and the DRC Congo while Uganda’s consignments declined in the first four months of this year. This is according to latest Kenya Ports Authority (KPA) performance report of 2020. The introduction and gazettement of...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mataifa 11 barani Ulaya yafanya makubaliano ya kufungua mipaka yao kwa ajili ya kuanza kupokea watalii

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
  18. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Togo, Burundi na Malawi wameonesha njia; Tanzania tufuate!

    Yaliyotokea katika chaguzi kuu za nchi za Togo, Burundi na Malawi yameonyesha kuwa nchi za Afrika zinaweza kufanya Uchaguzi Mkuu ulio huru kwa amani na utulivu lakini kikubwa zaidi, zikapata viongozi wake bila kutegemea jicho la waangalizi wa kimataifa walioko nje ya Afrika. Janga la COVID-19...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa?

    Footballers with degrees: Kompany, Mata & 10 players who went to university | Goal.com Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini Tanzania inashindwa...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Girls Learning Key Advisor – Shule Bora programme

    Girls Learning Key Advisor – Shule Bora programme Tanzania The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation that advances children’s rights and equality for girls. We believe in the power and potential of every child. But this is often suppressed...
Back
Top Bottom