Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Miezi kadhaa Ago Ndugu Gwajima alikuwa Shujaa sana wa Chadema kwa kuongea kwake pumba na maneno ya hovyo hovyo.sisi wenye akili hatukuwa tunakubaliana naye. Hata ile Video ya Mkono wa Baunsa CCM waliisimamia kuwa ni yeye na Chadema wakasema si yeye ni Mkono wa Baunsa.
Leo imekuwa kinyume. CCM...
Nimekaa na kutafakari kwa kina tunu ya lugha yetu hii ya Kiswahili.
Kiswahili kilitumika katika kuleta uhuru wa Tanganyika na Zanzibar.
Kiswahili kilitumika kuunganisha makabila zaidi ya 120 yaliyopo Tanzania.
Kiswahili kilitumika kumng'oa Nduli Idd Amini Dadaa, alipojaribu kuivamia Tanzania...
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya.
Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria.
Ila Nyuma ya...
ULINZI WAIMARISHWA DODOMA:
Dodoma: 07 Julai, 2020
Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama.
Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
CHADEMA,
Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu.
Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu.
Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
BACKGROUND
UNDP is the UN’s global development network whose focus is to help countries build and share solutions to the challenges of sustainable development as informed by the 2030 sustainable development agenda. The overall focus for UNDP Tanzania is to support the Government of Tanzania to...
Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatima ya wana habari na vyombo vyake.
Je, huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani?
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki. Huduma za kijamii zikiendelea kuboreshwa. Majengo ya kisasa yanazidi kuota kama Uyoga katika miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam.
Nasema siasa za Tanzania ngumu sana ila zinaonekana mwisho wasiku zitakuja kuwa za malipizo kama siasa za nigeria! Ukiangalia watu wanaomizwa na siasa iwe chama tawala au upinzani ni wengi na wanayaweka wakipata madaraka watalipiza bila shaka huu ndiyo utabiri wangu kwa leo.
Katika miaka ya hivi karibuni, dunia imeshuhudia maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia hasa linapokuja suala la matumizi ya simu.
Hakuna ubishi wowote kwamba intaneti kwa njia ya simu imeleta tija kubwa katika shughuli zetu. Katika ulimwengu wa biashara imesaidia watu kuwasiliana na...
ONYO KUHUSU MAANDAMANO YANAYOHAMASISHWA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ametoa onyo kali kwa wananchi waliopanga kufanya maandamano leo yakihamasisha uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini.
RPC Mambosasa amefikia uamuzi huo baada...
Chama Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa usimamizi wa Uchumi imara, madhubuti na jumuishi ambao umewezesha kuingia katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati miaka mitano kabla ya wakati.
Katibu wa NEC –...
Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na...
Amani iwe nanyi wadau!
Kama kichwa cha uzi kinavojielezea hapo juu hii ndo ndoto yangu kuu siku moja. Na kwa kadri siku zinavyozidi kwenda naona hii ndoto inazidi kuwa na muamko mkubwa.
kwanza kabisa Mimi ni mfuasi wa sera za kipebari kiuchumi kumaanisha kila mtu anakuwa huru kushiriki kwenye...
Pongezi nyingi kwa TPB na Vodacom Tanzania kwa huduma maridhawa ya M-Koba. Nimefurahi kukuta sasa mtu mwenye laini ya simu ya mtandao wowote anaweza kuwa mwanachama wa M-Koba. Mbona kimyakimya? Hili ni jambo kubwa sana. Lilipaswa kuzinduliwa kwa mashamsham yote.
Fursa ya Kuboresha: Wekeni...
Akiwa mmeposti kwenye ukurasa Wake Wa Instagram kasema " Trust Me kutokuwepo kwa Tuzo kwenye Muziki Inapunguza Thamani ya Muziki Tanzania Maana sasa hivi tumebaki kushindania YouTube tu ngoma yako isipofikisha Million 1 (views) ndani ya siku mbili basi hiyo ngoma sio bora"
"Kushindania views...
Kama kawaida yake Mzee Shomari anauza kahawa huku siasa ni mjadala mkubwa kwenye kijiwe chake. Na ndio maana watu wanamkubali maaana yeye anakutana na wanachi moja kwa moja, tofauti na Chadema na ACT wazalendo ambao wanategemea mitandao kueneza uongo na uzandiki.
Mzee Shomari anasema wapinzani...
Hero wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku.
Mimi ni mdau na schoral wa field ya IT na lengo langu kubwa ni kuja kufanya kitu ambacho ni remarkable na nipo chimbo kwa sasa, back to topic nakua inspired sana na wakubwa waliotangulia mfano kwa mbele watu kama Elon Musk, Mark Zuckerberg, Jeff...
Serikali imewataka Wananchi kuendelea kupenda bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya hapa nchini kwani chanzo cha nchi kufikia uchumi wa kati ni pamoja na wananchi wake kupendelea bidhaa ambazo wanazizalisha wao kama wao, na mafanikio yametokana na juhudi za watanzania wote wakiongozwa na Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.