Nyalandu: Saa ya mabadiliko ni sasa, si kwa Tanzania tu bali hata CHADEMA lazima ibadilike

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Mtia nia wa nafasi ya urais kupitia CHADEMA, Lazaro Nyalandu amesema saa ya mabadiliko imefika kwa taifa na chama chake cha CHADEMA.

Nyalandu amesema endapo atapata ridhaa ya chama chake kugombea urais ataleta mabadiliko makubwa ndani ya CHADEMA na mabaraza yake.

NYA+PIC.jpg

Chanzo: Clouds 360
 
Kweli kabisa chadema inaitaji mabadiliko waache siasa za kitoto ambazo watanzania walio wengi sasa wameshawastukia na watanzania now day wanataka vitendo zaidi na sio bra bra zao nyalandu kama anatoa hoja nzuri kama izi ni ishara hameona kitu ambacho sio sawa ...

Machadema hayatakagi kuambiwa ukweli sijui kwanini yan ukweli ni kwamba watanzania kwa sasa wanaakili na niwatu wanaofahamu mambo ivo kama chadema wataendelea na siasa zao za kitoto watapotea kama vilivyopotea vyama vingine ......‍♂️‍♂️‍♂️CCM BADO HAINA MPINZANI MBAKA SASA
 
Keisha kubali kukatwa Jina lake huko, yaani Kwa Chadema hata kama kutahitajika MABADIRIKO ni Bora wazo Hilo libaki moyoni Kwanza kabla hujapata Uongozi, ukifanikiwa kuwa kiongozi ndipo ufanyie kazi hayo MABADIRIKO, la sivyo utakuwa hujipendi
 
Siku zote ukiraka kuendelea ni lazuma uwe dynamic. Ni dhahiri CHADEMA inahitaji mabadiliko ya kuelekea mbele kuendana na mahitaji ya wakati, mazingira ya kisiasa na mienendo ya siasa za Dunia.

Chama kikifanya siasa zile zile miaka yote, kitabakia vile vile miaka yote.

Swali la muhimu: Nini kinatakiwa kubadilishwa, kwa namna gani, na ni mabadiliko yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keisha kubali kukatwa Jina lake huko, yaani Kwa Chadema hata kama kutahitajika MABADIRIKO ni Bora wazo Hilo libaki moyoni Kwanza kabla hujapata Uongozi, ukifanikiwa kuwa kiongozi ndipo ufanyie kazi hayo MABADIRIKO, la sivyo utakuwa hujipendi
Wanachadema wa kweli watamuunga mkono!
 
Mh.Nyalandu tafadhali mabadiriko unayoyasema ndani ya Chadema yasiguse Mkiti wa chama yeye atabaki huyo huyo. Vyeo vingine leta mabadiriko haina shida.
 
Atafanyaje mabadiliko hayo wakati yeye atakuwa ni mgombea tu na si kingine? Kama ana Mia ya kufanya mabadiliko angeanza sasa hivi kwa kutumia wadhfa alio nao ndani ya chama chake.

Amandla...
 
Kweli kabisa chadema inaitaji mabadiliko waache siasa za kitoto ambazo watanzania walio wengi sasa wameshawastukia na watanzania now day wanataka vitendo zaidi na sio bra bra zao nyalandu kama anatoa hoja nzuri kama izi ni ishara hameona kitu ambacho sio sawa ...

Machadema hayatakagi kuambiwa ukweli sijui kwanini yan ukweli ni kwamba watanzania kwa sasa wanaakili na niwatu wanaofahamu mambo ivo kama chadema wataendelea na siasa zao za kitoto watapotea kama vilivyopotea vyama vingine ......‍♂‍♂‍♂CCM BADO HAINA MPINZANI MBAKA SASA

Nikiona mtu anaandika kwa jazba, na lugha za bendera fuata upepo, huku akiwa haweki koma wala nukta, naishia kumdharau sana. Na vilaza wa aina hii wengi wako ccm. Sasa hata kama kanuni rahisi tu za uandishi zinakushinda, huo uelewa unautoa wapi?
 
Uwo muda wa kuandika kwa koma naupata wapi acha utoto apa muhimu ujumbe umeupata unataka nikuandikie kama nakuomba kazi .....MASKINI MKUBWA WEWE
 
Anagombea urais au uenyekiti wa chama kama uenyekiti wa chama anaweza kuleta mabadiriko ila kama anagombea urais asahau kuleta mabadiriko chadema
 
Back
Top Bottom