tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. winnerian

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi wa Tanzania Mtandaoni (BUWATA). Weka hapa hoja yako muhimu iwafikie watawala na kuwagusa mioyo yao migumu

    Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo: Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni". Vijana wengi sasa...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu kitu hicho, na hiki ndicho mimi ninachofanya humu JF, kuwaelimisha wengine...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kutishiwa kuuawa linalenga jambo gani na kwa manufaa ya nani na ili iweje?

    Sasa ni dhahiri kwamba kuna mpango umesukwa wa mauaji ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, wahanga wakuu ni kutoka CHADEMA na ACT-WAZALENDO, ushahidi uko wazi kabisa, lakini je mpango huu wa kinyama umepangwa ili iweje, mbona walioshinda uchaguzi wameshinda kwa kishindo, mauaji haya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli "Tiles" zinazotengenezwa hapa Tanzania hazina square?

    Nimekuwa na Tatizo la kuona kila niki weka tiles, zinapishana. Mara nyingi na nunuaga tiles za makampuni ya hapa nyumbani Tz, kwa sababu ya Urahisi, lakini pia kuinua viwanda vya ndani. Ila mara zote naona mistari haija nyooka, mara zote nikiwauliza mafundi wananiambia tiles za kichina na za...
  5. Keynez

    JamiiForums Tanzania Video hii inatosha kutukumbusha utofauti mkubwa kati ya siasa za Marekani na Tanzania

    Najua wengi mnayafahamu mengi kuhusu tofauti za kimfumo na hata kiutamadumi katika siasa za Tanzania dhidi ya zile za Marekani. Moja ya jambo ambalo wengi wanaliongelea sana ni uhuru wa vyombo muhimu katika ufanyaji wa kazi na majukumu ya kisiasa. Huko Marekani, taasisi moja ambayo ufanyaji...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Upigaji kura kwa njia ya posta uanze kutumika Tanzania

    Hii njia nimeiona ndio suluhu ya kuondoa malalamiko kwa juu ya mawakala kufukuzwa au kuzuiw kufanya kazi. Sheria ya uchaguzi ya Tanzania ibadilishwe tuwe tunapiga kura kwa njia ya posta. Watendaji wa vijiji na mitaa wawe wanagawa karatasi za kupigia kura, tunaenda kutumbukiza posta. Mawakala...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

    Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania. Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Urais, USA - 2020: Anavyopigwa Donald Trump (R) katika Ballot Box, ndivyo ambavyo alikuwa anapigwa John P. Magufuli (CCM)..

    Mfanano wa chaguzi hizi mbili: 1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao.. 2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda kulaumiwa kwa makosa yao.. 3. Wote ni wapenda sifa na wakati mwingine kutaka sana kupenda...
  9. lutemi

    JamiiForums Tanzania Ombi la kurejeshewa Internet

    Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao. Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana. Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine...
  10. kidadari

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinakwama wapi kwenye habari za Kimataifa?

    Katika taarifa za habari za kimataifa vyombo vya habari vya Tanzania viko nyuma sana. Ni kawaida kuangalia taarifa ya habari na kusiwepo habari za kimataifa hata kama kuna matukio makubwa yametokea duniani. Star Tv kidogo wanajitahidi kutoa habari za kimataifa nazo kuna kipindi zinasua sua au...
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Tanzania hakuna mtu aliyewahi kuingia bungeni na akawa mzalendo kama Zitto Zuberi Kabwe

    Toka Richmond Epa Escrow Operations tokomeza Katiba mpya Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ifahamu siku ya uapisho wa Rais nchini Tanzania na maana ya ishara zinazoambatana na matukio wakati wa uapisho

    IFAHAMU SIKU YA UAPISHO WA RAIS. MATUKIO YANAYOFANYIKA. Katika hafla ya uapisho kunakuwa na matukio mbalimbali kama ifuatavyo; ✍🏽Kupigwa kwa mizinga 21. ✍🏽Ukaguzi wa gwaride. ✍🏽Salaamu kutoka katika vikosi vya kijeshi. ✍🏽Burudani. KULA KIAPO. Katika hafla ya uapisho tukio la Rais kula kiapo...
  13. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daraja la SGR la Tanzania labomolewa

    Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa kuna sehemu la daraja la SGR hapo Dar limebomolewa. Hii ni kwa sababu ya planning mbaya ya serikali ya Tanzania. Mnajenga miradi ovyo ovyo bila kukaa chini na kufanya planning. Sasa daraja la reli linabomolewa kwa sababu linakinga flyover. Hili daraja...
  14. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho Novemba 7, 2020

    Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Novemba 7, 2020 anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na masuala mbalimbali yaliyojili kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Pia Kiongozi wa Chama atazungumzia mambo mbalimbali ikiwamo ukiukwaji wa...
  15. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Eurocentric & Deterrent Criminal Court: Kama Burundi walijitoa, mpaka sasa Tanzania imenufaikaje na uwepo wa Mahakama inayolenga viongozi wa Afrika?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kama nchi ndogo za Rwanda na Burundi ambao ni jirani zetu walijitoa kutoka katika taasisi hii inayosemekana inafumbia macho uhalifu unaotendwa na mataifa ya Ulaya (Eurocentric), mpaka sasa Tanzania...
  16. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

    Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources. The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
  17. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Tofauti mojawapo kati ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na Marekani, ni kuhoji mchakato wa Uchaguzi katikati ya Uchaguzi!

    Nasikia Donald Trump amekimbilia mahakamani kusitisha uhesabuji wa kura. Akiwa madarakani amekimbilia mahakamani, badala ya kwenda kwenye Tume ya Uchaguzi. Hapa kwetu Tanzania, balaa, mgombea haruhusiwi kukimbilia mahakamani wala Tume haitakiwi kuulizwa lolote juu ya Uchaguzi. Hapa sio suala la...
  18. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania What does a Spear and Shield Symbolize to State Status & Sworn in President in Tanzania?

    Esteemed Great Thinkers, As the subject matter seek to be professionally clarified by the seasoned constitution experts I appeal interpretation offered to our understanding as the normal synonym does not figure out what is the codification? Spear represents victory, masculinity, the phallic...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Taifa kubwa, Magufuli baba lao

    Mabibi na mabwana kutokea taarifa za habari jana na pia baada ya kujiridhisha: He! Kumbe yule mgeni wetu mpendwa kabisa, mwalikwa tokea pande za pale Burundi aliingizana nchini kwa kutumia moja ya madege yetu yale mapya mapya ya ATCL chapa ya twiga? Ikizingatiwa uwanja wa ndege Bujumbura...
  20. jay311

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna Marafiki wa "Maana" hapa Afrika?

    Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini? Nilitegemea nione viongozi wakubwa wa nchi zinazotuzunguka +SADC kama South Africa, Zambia, Kenya...
Back
Top Bottom