Ombi la kurejeshewa Internet

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,743
1,379
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani.

Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.

Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.

Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote.

Wengine siasa kama police na bangi yaani kwakweli hatutaki hata kusikia mambo ya siasa ila fungueni internet haya ya kutumia VPN ni mateso sana.
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa.

Kitu ambacho si KWELI.

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET.

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp?

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
 
Ujinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..

Kitu ambacho si KWELI..

kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu

Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..

kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??

Tumia akil vzr

Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende

Na Tutawavunjaa
We mbwiga usiishi kwa kukariri. Unavyoitumia wewe FB sivyo anavyotumia mwingine. Super Idiot.
 
We mbwinga usiishi kwa kukariri. Unavyoitumia wewe FB sivyo anavyotumia mwingine. Super Idiot.
Hahahah... Kwa mtu aliye Serious hawez Tumia FB kusomea..

Na mtu aliye Serious... Basi muda huu anatumia VPN kupata huduma mbadala..
 
Back
Top Bottom