tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

    UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020. Foreign, Commonwealth & Development Office Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement. Minister for Africa, James Duddridge...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

    Ndugu Rais, nakusalimu. Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania wameridhishwa na uongozi wako unaoacha alama. Ndugu Rais, ninaomba niende moja kwa moja kwenye hoja...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maoni yangu; Tuzo 10 bora za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa mwaka 2020 umekamilika rasmi Leo kwa mshindi wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Joseph Pombe Magufuli Kukabidhiwa cheti cha Ushindi. Katika hekaheka za Kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, zilizodumu kwa siku 60, kuna Tuzo kumi...
  4. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Virtual Private Network (VPN) imenirudisha JF

    Virtual Private Network Hellow Great Thinker Taarifa rasmi kwawale wote walioshidwa kufanya access ndani ya JF. VPN ndio mkombozi wetu toka tarehe 28 usiku sikuweza kufanya access ndani mtandao wetu pendwa wa JF nilifanya majaribio kadhaa ya kuipata hi application ya VPN bila mafanikio kwani...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais na Makamu wa Rais katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020

    Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ataapishwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020, hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa. Wananchi wanaopenda kuhudhuria wanakaribishwa kufika uwanjani kabla saa 1 asubuhi. Dkt. Magufuli wa...
  6. Baba Nla

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya simu na gazeti lolote la Tanzania

    Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia. Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yetu Sylvia Mulinge alikwepa mtiti kwa kuzuiwa kuwa mkurugenzi Voda Tanzania

    Hii balaa yote sijui angetoka vipi, angetuhumiwa makubwa na kufedheheshwa sana.....ingemharibia sana CV/wasifu. ============= British MPs raise questions about Vodafone's involvement in censoring Tanzania's opposition By Will Brown, Africa Correspondent 28 October 2020 • 6:28pm...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania ya baada ya Uchaguzi: Taifa lililogawanyika

    Uchaguzi umekwisha,na kwa nguvu za kidola tumerudishwa katika mfumo wa chama kimoja huku kukiwa na vyama vingi vya kuzugia na kudanganyia dunia. Haya mambo si kwa faida ya Taifa zima, bali ni ego tu ya mtu mmoja na genge lake dogo la watu wanafiki wanaowaza matumbo yao badala ya Taifa zima na...
  9. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa ya Tanzania itakwepaje lawama hizi katika Uchaguzi wa 2020?

    Wana-JF, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu tulioshuhudia siku chache zilizopita. Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi kwa vile ni wana-CCM na wamekuwa wakiipendelea CCM...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo Rasmi ya Jumla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2020

    MATOKEO RASMI YA JUMLA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni 29,759,699 Wapiga kura waliojitokeza Kura ni 15,910,950 Idadi ya kura halali ni 14,830,195 Idadi ya Kura zilizokataliwa ni 261,755 Kura Walizopata Wagombea Dkt John Pombe Magufuli wa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule. Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
  12. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Tanzania umeporwa

    ======= Press release UK statement following the Presidential Elections in Tanzania UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020. Published 1 November 2020 From:Foreign, Commonwealth & Development Office and James Duddridge MP Following the Presidential...
  13. DITOPILE WAPILI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Akili za kukariri na kuhariri katika siasa za Tanzania

    Matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania yameanza kutoka tangu tarehe 29/10/2020 na Chama cha CCM kwa asimilia kubwa kinadalili ya kushinda ushindi wa kishindo. Vyama vya upinzani wakiwa wanabeza na kukariri kwamba CCM imepata ushindi kwa kuiba kura, kuendelea kukariri hivi ni makosa makubwa sana pia...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

    Kwanini upinzani umeanguka vibaya: 1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote. 2) Hakuna...
  15. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuwa Rais wa kwanza Tanzania utawala wake chuki kutawala katika jamii?

    Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa! Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale. CCM kitakua ndicho chama kitakachochukiwa na watu wote katika jamii na hata wao watachukua na wenyewe...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani huko Tanzania mjilaumu wenyewe, mliingia kichinjioni mkiona

    Upinzani wa Tanzania mjilaumu wenyewe tu, maana chaguzi za serikali za mitaa mligomea na kuona kilichotendeka, CCM walizoa kila kitu bila kupepesa macho, maana kwamba walikua tayari kuwafuta kwenye historia ya nchi, walikua tayari kufanya chochote na lolote bila aibu. Sasa mmekuwa mkilaumu...
  17. vulcan

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo BRT ya Tanzania wenzangu

  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuiita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina yake ya Kiingereza? (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Kongo...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

    Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
  20. James Martin

    JamiiForums Tanzania Joe Biden akichaguliwa anaweza kusaidia kuleta mageuzi ya kisiasa Tanzania baada ya "uchaguzi"

    Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia. Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais" atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa ajira ili wahamie CCM. Hiyo itakuwa ni propaganda kuwa yeye...
Back
Top Bottom