Daraja la SGR la Tanzania labomolewa

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa kuna sehemu la daraja la SGR hapo Dar limebomolewa. Hii ni kwa sababu ya planning mbaya ya serikali ya Tanzania.

Mnajenga miradi ovyo ovyo bila kukaa chini na kufanya planning. Sasa daraja la reli linabomolewa kwa sababu linakinga flyover.

Hili daraja lililobomolewa litachukua zaidi ya mwaka moja kulijenga tena. Mradi huu ulikuwa ukamilike mwaka uliopita lakini sasa sioni ukikamilika hadi Yesu arudi.

Yaani kilomita 200 ya reli imewashinda kabisa kujenga na bado mnataka kushindana na Wakenya? Mbona msimalize ujenzi wa kilomita hizi chache kabla hamjakuja huku kulinganisha

Watu walio Dar wekeni picha.
 
Daraja la Nkuramah kama sijakosea ndio limebomolewa upande mmoja wa support,kukamilika ni ngumu sana Seth na Rugememarira wamekataa kukiri kosa hivyo pesa ya kumalizia hakuna sehem nyingine ya kutoa, ikimbukwe fedha kutoka kwa wafanyabisahara zimechukuliwa zote mradi haukuisha, fedha kutoka Bureau zote zilichukuliwa mradi haujaisha kwa sasa tunasubiri pesa kutoka Mbinguni
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa kuna sehemu la daraja la SGR hapo Dar limebomolewa. Hii ni kwa sababu ya planning mbaya ya serikali ya Tanzania. Mnajenga miradi ovyo ovyo bila kukaa chini na kufanya planning. Sasa daraja la reli linabomolewa kwa sababu linakinga flyover. Hili daraja lililobomolewa litachukua zaidi ya mwaka moja kulijenga tena. Mradi huu ulikuwa ukamilike mwaka uliopita lakini sasa sioni ukikamilika hadi Yesu arudi. Yaani kilomita 200 ya reli imewashinda kabisa kujenga na bado mnataka kushindana na Wakenya? Mbona msimalize ujenzi wa kilomita hizi chache kabla hamjakuja huku kulinganisha ukubwa wa korodani na majirani wenu?

Watu walio Dar wekeni picha.
Kilicho bomolewa sio daraja ni upande moja wa cable stayed bridge sababu ya muingiliano pale kamata ikumbukwe kuna flyover inatakiwa kujengwa, kuna meter gauge inapita chini pia SGR viaduct so ikaleta shida jinsi ya kujenga flyover, wakati unapiga domo ujue viaduct ilianza kujengwa kabla ya design ya flyover.
 
Daraja la Nkuramah kama sijakosea ndio limebomolewa upande mmoja wa support,kukamilika ni ngumu sana Seth na Rugememarira wamekataa kukiri kosa hivyo pesa ya kumalizia hakuna sehem nyingine ya kutoa, ikimbukwe fedha kutoka kwa wafanyabisahara zimechukuliwa zote mradi haukuisha, fedha kutoka Bureau zote zilichukuliwa mradi haujaisha kwa sasa tunasubiri pesa kutoka Mbinguni
Na wewe kukiri kosa lipi wakati design ya flyover ilichelewa, mnavichuki vya kishamba snaa.
 
Kilicho bomolewa sio daraja ni upande moja wa cable stayed bridge sababu ya muingiliano pale kamata ikumbukwe kuna flyover inatakiwa kujengwa , kuna meter gauge inapita chini pia SGR viaduct so ikaleta shida jinsi ya kujenga flyover , wakati unapiga domo ujue viaduct ilianza kujengwa kabla ya design ya flyover
Kwani cable stayed bridge sio daraja? Ni ugali?
 
Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa kuna sehemu la daraja la SGR hapo Dar limebomolewa. Hii ni kwa sababu ya planning mbaya ya serikali ya Tanzania. Mnajenga miradi ovyo ovyo bila kukaa chini na kufanya planning. Sasa daraja la reli linabomolewa kwa sababu linakinga flyover. Hili daraja lililobomolewa litachukua zaidi ya mwaka moja kulijenga tena. Mradi huu ulikuwa ukamilike mwaka uliopita lakini sasa sioni ukikamilika hadi Yesu arudi. Yaani kilomita 200 ya reli imewashinda kabisa kujenga na bado mnataka kushindana na Wakenya? Mbona msimalize ujenzi wa kilomita hizi chache kabla hamjakuja huku kulinganisha ukubwa wa korodani na majirani wenu?

Watu walio Dar wekeni picha.
Hivi wewe unajua kilicho bomolewa kwanza ? unazungusha mdomo na hata huelewi kitu
 
Yapi wako faster sana nilipita week iliyopita majumba sita wanapiga kazi hadi usiku.
 
Back
Top Bottom