tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. I

    JamiiForums Tanzania ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath. The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

    Hakuna ubishi kabisa watu wengi wanaoneza uongo juu ya Taifa letu ni watumiaji wa mtandao wa Twitter. Huko kuna watu wabaya sana ambao nafikiri sababu wengi wao wanaishi nje ya nchi basi muda wote ni kueneza propaganda za uongo na kutukana viongozi. Mbona China waliifungia baada ya kuona...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lini tutakuwa Nchi moja, Serikali Moja? Jamhuri ya Tanzania isiwepo kabisa ile Muungano

    Tunahangaika sana mara kero mara mauaji mara kulazimishana mtafaruku mkubwa sana ,nahisi ni bora sasa iamuliwe tu na Wabunge tunao wengi sana wakutosha na ziada,tuondoe lile utata Jamhuri ya Muungano liwepo jina zuri la Jamhuri ya Watu wa Tanzania. Tunaondoa Baraza la Wawakilishi, tunaondoa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado japo sio mbali tena

    Kuhusu maandamano na uwajibikaji wa wananchi katika kuiwajibisha Serikali au kupinga jambo wakiwa kama waTanzania kwa ujumla wao,hizi za kina Chadema na ACT Wazalendo na wengine kama wapo ni mwanzo ulio mbali na hali halisi inavyokuwa, Tanzania hatujakumbwa na baa la njaa ya kufa mtu, Tanzania...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndairagije wewe ni genuius Tanzania haijawahi kucheza mpira Na giants yeyote yule kwa kujiamini tena ugenini

    Form is a temporal class is permanent. Mpira wanaocheza timu ya taifa kipindi hiki ni mzuri sana mapungufu ni kidogo tu tulikuwa tunalaumu washambuliaji kuto kufunga lakin jana tatizo limeonekana viungo ndio tatizo la taifa letu Back line ya timu umeijenga vizuri sana kwa kuwaweka nondo na...
  6. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye mfumo wa ajira Tanzania kati ya Medical Laboratory Personel na Biotechnology and Laboratory Sciencies personel

    Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili; 1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti? 2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and laboratory sciencies. 3) Je, leseni za watu wa biotechnology and laboratory sciencies zinapatikana...
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021. Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu. Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi. Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa...
  9. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania The Shift of Political Diplomacy to Economic and Security Diplomacy

    Esteemed Great Thinkers There is fast shift of the political diplomacy to economic and security diplomacy in teh current era that Tanzania should not grant a room to be aggressively superseded and call it a junk for fear to be blamed. The country has to vigorously engage in strategic economic...
  10. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

    Karibuni wazalendo tumnyooshe Tunisia nyumban kwake Mechi ni ya kufuzu Afcon ikiwa ni mechi ya 3,Tanzania alishinda mechi zake 1 na kupoteza 1 Tunisia yeye alishinda mechi zote mbili kikosi cha Tanzania manula Kapombe m husein Mwamnyeto mao Mkude sureboy Msuva bocco Farid Ombi:Mwenye link ya...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Elimu ya Tanzania

    Elimu nchini Tanzania hutolewa na sekta zote mbili, yaani, sekta za serikali na binafsi. Muundo wake kiujumla ni kama ifuatavyo:[ 👉Miaka 2 au 1 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi wenye umri kati ya miaka 5–6 (miaka 2), lakini hii watoto sehemu kubwa wanaanza wakiwa na umri wa...
  12. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Wamachinga waliozagaa pembezoni mwa barabara na sehemu zisizo rasmi katika miji mikubwa Tanzania waondolewe?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wamachinga kuzagaa pembezoni mwa barabara za magari na wapita kwa miguu na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hizo. Hii ipo kwenye mikoa Kama Dar es salaam mwenge - ubungo Ubungo-shekilango-manzese-magomeni Kariakoo-karume-ilala-buguruni...
  13. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tufanye haya ili kuendelea kuimarisha uwekezaji na ukuaji wa uchumi Tanzania

    Tunaelekea kuufunga mwaka wa 2020 na panapo majaliwa itakuwa heri kwetu kuuona mwaka 2021. Miezi hii ya mwisho wa mwaka huwa ni wakati mzuri wa tafakari ya wapi tumefanikiwa mwaka huu. Kama nchi, Tanzania ina mambo mengi ya kujivunia mwaka huu na mojawapo ni lile la kuingia katika kundi la nchi...
  14. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

    Wakuu, Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao. Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya...
  15. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

    Kwa wale tuliofatilia hotuba ya Mh. Rais mpaka mwisho katika hotuba ya ufunguzi wa Bunge na kusikiliza wageni mbali mbali wa Jumuiya za Kimataifa wadau wa maendeleo pamoja na wawakilishi na mabalozi wa mataifa mbalimbali, hatujaona ushiriki wa balozi wa Marekani, Ufaransa na Ubelgiji. Mabalozi...
  16. Sijali

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya imani

    Nimeonelea badala ya mawazo ya kulaumu, kulalamika, kulaani…...nitoe mawazo ya kujenga angalau kujaribu kuepusha matatizo makubwa yanayoisogelea Tanzania. Ni matumaini yangu wakuu watayaona na angalau kuyafikiria. Kila mfuatiliaji atajua uchaguzi uliopita, mithili ya chaguzi zote zilizopita...
  17. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

    Kenya ni nchi yenye matatizo mengi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa sasa, ukabila, rushwa, ukosefu wa usalama, upungufu wa chakula, migogoro kati ya jamii za wafugaji, miradi ya serikali isitozingatia mahitaji ya wananchi, Covid -19, dhuluma ya umiliki wa athi, vurugu za kisiasa wakati na...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

    Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter: With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

    Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
Back
Top Bottom