Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Karibu
Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana.
Chanzo: ITV
========
Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa amebeba bahasha yenye jina la waziri mkuu ajae.
Baada ya spika Ndugai kuipokea amempa kazi katibu wa...
Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
Chama tawala nchin Zimbabwe cha ZANU PF kimeitaka nchi ya Marekani kuacha kuingilia mambo ya Tanzania kwani nchi hiyo ni huru.
Source: CRI kiswahili
========
ZIMBABWE ruling party ZANU-PF has called the US to stop issuing threats of imposing sanctions against Tanzania and not to interfere...
Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku...
Nation Media Group
Kenyan truckers have been driven over the edge in a new Tanzanian law subjecting their lorries passing through Namanga border post to five per cent per tonne domestic tax. It will be charged on trucks entering Kenya.
Kenya International Freight & Warehousing Association...
Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo.
Natanguliza shukrani.
Wakuu,
Hili ni bandiko la swali ili kupata uelewa mpana kuhusiana na taswira mpya wanasiasa wa Tanzania na washirika wao wanavyoonesha katika siku za hivi karibuni.
Je, kuna uhusiano gani wa ziada nje ya utaratibu wa kawaida kwa nchi tajwa hapo juu na shirika mojawapo la haki za binadamu na...
Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.”
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
Maisha baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania 2020 yameleta gumzo na mjadala usiokua na dalii za kufika tamati. Dalili zote zinaonyesha kuwa chanzo cha marumbano na migogoro endelevu ya kisiasa ni madhara mabaya ya mfumo wa vyama vingi.
Mfumo wa vyama vingi unaleta chuki mbaya na migogoro...
OHCHR | UN rights chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections
GENEVA (10 November 2020) – UN High Commissioner for Human Rights Michelle Bachelet on Tuesday said she was disturbed by reports of continued intimidation and harassment against opposition leaders and...
Kuna sehemu nilisoma kwamba Mandela aliwahi kuishi Morogoro kama mkimbizi wa kisiasa akiwakimbia makaburu, alipewa hifadhi na Nyerere. Bado wengi hatuamini taarifa za kwamba Lema ambaye mara moja moja huwa namfuatilia hoja zake zilizosheheni nondo kwenye bunge la Tz, yaani yuko hapa Kenya kama...
Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti.
Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' , ambapo walikatakata miili ripoti nyengine zinasema.
Watu kadhaa pia walikatwa vichwa katika kijiji...
Inakuwaje wanaJF!
Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars millionaires siyo mchezo Aisee ni wakupongezwa.
Nimeshangazwa na hawa kuwa dolls millionaires nawapa pongezi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana.
=======
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na...
Yamesemwa na ritha minja ambaye ni Mkurugenzi wa Sensa za Twakimu na Jamii. Hiyo ni kwa mwezi October
Source: TBC online
My take
Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa...
Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi.
Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika
Nilipita Kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi Recho Kasanda aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa...
Nimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule...
Katika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha Mwanasiasa wa Upinzani, Godbless Lema au familia yake kwenye mateso ya kisiasa au uwezekano wa kufungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.