Kwanini Tanzania hatuna Marafiki wa "Maana" hapa Afrika?

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,711
Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini?

Nilitegemea nione viongozi wakubwa wa nchi zinazotuzunguka +SADC kama South Africa, Zambia, Kenya au Ethiopia, so ni Uganda na Zimbabwe tu? Hii ina maanisha nini? Corona?
 
Wengine wanapokuwa wanakaza masharti ili kuikabili korona wewe unatamba kuwa "imekoromea mbali" si wote watakuamini.
 
Kufa kufaana, unaweza ukadhani una marafiki wa maana lakini kumbe urafiki wao hauna umaana.
 
Dah! Mkuu usidharau watu bwana, Hivi ni mgeni yupi umemuona wewe sio wa maana? Though ulitaka kumaanisha kitu kingine ila yeyote aliyekuja ni wa maana sana.
 
Back
Top Bottom