Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable).
Hii ni hata baada ya kutumia browsers tofauti tofauti. Tunaomba wafanyie kazi ili wanafunzi wapya wapate kujua ni...
Baada ya Mshambuliaji hatari wa Simba MEDIE KAGERE kuwa mfungaji Bora kwa misimu miwili (2) mfululizo.
Hii ndio List ya Washambuliaji ambao wanafanya vizuri :..
1. Prince Dube
2. Adam Adam
3. Obrey Chirwa
4. John Bocco
5. Yusuf Mhilu
6. Medie Kagere
7. Michael Sarpong
8. Bigirimana Blaise
JE...
23 November 2020
Maputo, Mozambique
Wapiganaji 516 wa Islamic State waliokamatwa Tanzania kurejeshwa Mozambique
Ni baada ya ziara ya mkuu wa jeshi la Polisi Mozambique kamanda Bernadino Rafael nchini Tanzania wiki iliyopita.
Jumla ya Washukiwa 516 wa kutoka mataifa mbalimbali Afrika...
As per his working experience and seriousness and so that we can maintain or become middle upper income country our next president should be Kassim Majaliwa.
Let us discuss
Jukwaa la msuguano wa akili na mawazo mbadala kwa kutoa sulushi kwa faida ya wote;
Kwa sasa Tanzania ina maadui wengi sana kutoka miongoni mwa Wananchi wake na viongozi wa kisiasa.
Maadui wa kimkakati ni watatu kama wanarivyorithishwa kila awamu ya uongozi ni Ujinga, Maradhi na Umaskini...
Nilimsikiliza Profesa Kabudi akijimwambafy, akizungumza kwa kujitapa kabisa kuwaambia wahisani wetu kuwa Tanzania iko imara, haibabaishwi na misaada yao na kwamba sisi kama Taifa tunaweza kushinda vita zetu maana hatujawahi kushindwa vita!.
Kabudi ameongea hayo aakijaribu kutuma meseji kwa...
Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T
Canada ni US700M sawa na SH 1.7T
US ni US1.5BIL
Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T
sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo...
Habari wakuu,
Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MATUKIO YA MOTO MAENEO MBAKIMBALI YAKIWEMO MAOFISINI, MAJUMBANI, MASOKONI,MASHULENI NA KWINGINEKO KUTEKETEA KWA MOTO NA KUTOA HASARA KUBWA.
Ashe Creation Company Limited ni kampuni iliyosajiliwa kisheria na brella na kufuata taratibu zote za sheria ya usajili wa...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE TANZANIA PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI AWAJIBU MABEBERU, HATUJAWAHI KUPIGISHWA MAGOTI, UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI
Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi aijibu EU - Umoja wa Ulaya kufuatia kikao cha bunge hilo la ulaya huko makao makuu ya EU kutishia uwezekano...
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.
ACT-Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni...
Salaam wana JF,
Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi na taratibu za ndani za kuendesha shughuli zetu za kiutawala kulingana serikali iliyopo madarakani...
Tanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli.
Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge la EU chini ya Mwenyekiti wake David Mc Allister kuhusu Tanzania zilikuwa nzito kulikuwa hakuna...
Viongozi wa nchi, na viongozi wa CCM Mara nyingi wamesikika wakisema eti nchi yetu iko kwenye vita vya kiuchumi, ina pambana na mabeberu.
Huuu Ni utopolo daraja la Kwanza, unapambanaje na mbuzi? Kama mabeberu ni nchi hisani unapambanaje na anayekupa msosi?
Hebu fikiria uchumi wetu ulivyo, yaani...
Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano na vurugu nchini Uganda wanaodai Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine aachiwe huru imeongezeka na kufikia 37, kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi nchini humo.
Polisi walimkamata Bobi Wine Jumatano wiki hii katika mji wa Luuka...
Kenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya
Wanabodi,
Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total
Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akizungumza katika hafla ya kuzindua wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi...
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.