Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,887
Ingependeza tuwe na sehemu ambako unazikuta app za kitanzania kwa wingi. Maana sehemu kama playstore ni vurugu tupu. App za kila aina. Pia tukiwa na apps store yetu ni rahisi kuweka vitu kama malipo kwa mazingira yetu.
Kwanini hatuna apps store yetu?
Kwanini hatuna apps store yetu?