tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kuna vitu vinatufanya sisi wananchi tufanye hitimisho kuwa viongozi wakuu wa upinzani ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Twende kwenye swali husika ambalo linavijiswali vidogo ndani yake; - Kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020...
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania MMB kinaweza kikawa ndiyo chama kikuu cha upinzani Tanzania 2025

    Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake! Zitto Kabwe baada ya kutimuliwa CHADEMA aliamua kuanzisha chama chake cha siasa. Ndani ya muda mfupi nguvu ya chama hiki...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Katika wanasiasa kumi wa Tanzania ya leo, wanasiasa wa enzi za kina Nyerere ni wangapi katika hao kumi?

    Naomba tufanye tathimini kupitia mtandao huu wa JamiiForums juu ya namna gani wananchi wanawachukulia wanasiasa wa kizazi cha leo kuwalinganisha na wale wa kiza cha Mwalimu Nyerere,mtu alieacha kazi ya ualimu na kwenda kupigania uhuru wa Taifa hili kazi ambayo kama sikosei haikuwa na masilahi...
  4. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu CIA na Mossad kuifanya Tanzania iwe tatu bora kwa upelelezi Duniani enzi za mwalimu

    Habari Wanajamvi, Enzi za mwalimu kulikuwa na Uzalendo uliotukuka. Watanzania walikuwa makini na waadilifu katika shughulu zao. Majasusi wawili kutoka Marekani na Israel CIA na Mossad walikuja nchini kupeleleza kwa kisingizio cha utalii na kuomba tour guide in advance. Walipofika tu Dar Int...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan? Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kwenye demokrasia tanzania tuna safari ndefu sana!

    Mwalimu wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala Prof .Horace Camble alikuwa anatumbia kuwa ili DEMOKRASIA imee Ni lazima kuwe na Civic competence' yaani misingi ya DEMOKRASIA inafaa tu pale ambapo wa raia wa jamii huisika wanjitambua! Kinachoendelea hapa nchini kinashihirisha hhaya! Ukweli Ni...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

    Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021 Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa kamati hiyo. Tarehe 23 Novemba 2020...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, demokrasia ya Tanzania inakua au imedumaa?

    Je, demokrasia ya Tanzania inakua au imedumaa? Ndilo swali analoliuliza mchambuzi wetu Anaclet Rwegayura katika Barua kutoka Dar. Mikutano ya kampeni za uchaguzi inawapeleka Watanzania katika uwanja wa kufurahisha kisiasa, wakati washindani wapya wakipanda majukwaani wiki hii kujinadi kama...
  9. Bowie

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafahamu kuwa suala la kutaka Tanzania iwekewe vikwazo ni usaliti mkubwa kwa wapiga kura wake

    Nimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita. Mimi ninauhakika Tanzania haijafikia hatua ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kwani hao wafadhili wanajua moja kwa moja mwananchi wa kawaida ndio atakayeumia na vikwazo...
  10. analysti

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania (OUT): Tangazo lenu kwa ajili ya wanafunzi wapya, halifunguki

    Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable). Hii ni hata baada ya kutumia browsers tofauti tofauti. Tunaomba wafanyie kazi ili wanafunzi wapya wapate kujua ni...
  11. 3llyEmma

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara: Nani kuvaa kiatu cha ufungaji bora 2020/2021?

    Baada ya Mshambuliaji hatari wa Simba MEDIE KAGERE kuwa mfungaji Bora kwa misimu miwili (2) mfululizo. Hii ndio List ya Washambuliaji ambao wanafanya vizuri :.. 1. Prince Dube 2. Adam Adam 3. Obrey Chirwa 4. John Bocco 5. Yusuf Mhilu 6. Medie Kagere 7. Michael Sarpong 8. Bigirimana Blaise JE...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Washukiwa 500 waliokamatwa Tanzania kurejeshwa Mozambique kwa ugaidi

    23 November 2020 Maputo, Mozambique Wapiganaji 516 wa Islamic State waliokamatwa Tanzania kurejeshwa Mozambique Ni baada ya ziara ya mkuu wa jeshi la Polisi Mozambique kamanda Bernadino Rafael nchini Tanzania wiki iliyopita. Jumla ya Washukiwa 516 wa kutoka mataifa mbalimbali Afrika...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa

    As per his working experience and seriousness and so that we can maintain or become middle upper income country our next president should be Kassim Majaliwa. Let us discuss
  14. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina maadui wengi miongoni mwa Wananchi wake

    Jukwaa la msuguano wa akili na mawazo mbadala kwa kutoa sulushi kwa faida ya wote; Kwa sasa Tanzania ina maadui wengi sana kutoka miongoni mwa Wananchi wake na viongozi wa kisiasa. Maadui wa kimkakati ni watatu kama wanarivyorithishwa kila awamu ya uongozi ni Ujinga, Maradhi na Umaskini...
  15. mwaswast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deadliest Roads: Tanzania Edition

    A new Documentary kuwafungua watu macho kuihusu Tanzania ya Magufuli. I hope they will do something on it.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi, Tanzania imewahi kushindwa vita nyingi tu

    Nilimsikiliza Profesa Kabudi akijimwambafy, akizungumza kwa kujitapa kabisa kuwaambia wahisani wetu kuwa Tanzania iko imara, haibabaishwi na misaada yao na kwamba sisi kama Taifa tunaweza kushinda vita zetu maana hatujawahi kushindwa vita!. Kabudi ameongea hayo aakijaribu kutuma meseji kwa...
  17. rosemarie

    JamiiForums Tanzania Bilioni 550 ndiyo msaada wa EU kwenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka!

    Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T Canada ni US700M sawa na SH 1.7T US ni US1.5BIL Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo...
  18. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Habari wakuu, Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
  19. Billgates wa bongo

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya majanga ya moto na vifaa vya usalama Tanzania

    KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MATUKIO YA MOTO MAENEO MBAKIMBALI YAKIWEMO MAOFISINI, MAJUMBANI, MASOKONI,MASHULENI NA KWINGINEKO KUTEKETEA KWA MOTO NA KUTOA HASARA KUBWA. Ashe Creation Company Limited ni kampuni iliyosajiliwa kisheria na brella na kufuata taratibu zote za sheria ya usajili wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aieleza Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania haijawahi kushindwa vita ya aina yoyote

    WAZIRI WA MAMBO YA NJE TANZANIA PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI AWAJIBU MABEBERU, HATUJAWAHI KUPIGISHWA MAGOTI, UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi aijibu EU - Umoja wa Ulaya kufuatia kikao cha bunge hilo la ulaya huko makao makuu ya EU kutishia uwezekano...
Back
Top Bottom