Tanzania kuipita Kenya kiuchumi

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Professor of wa chuo maarufu nchini Kenya katika mahojiano na kituo cha television cha Citizen amesema baada ya miradi ya Standard Gauge Train na Mwalimu Nyerere Hydro Power Project vikikamilika uchumi wa Tanzania utapanda na kuzidi uchumi wa Kenya.

 
Sasa mzungu akisema kitu wengine wenu mnapata nyege. Tulieni. Tanzania itatupita kiuchumi ile siku Yesu atarudi.
Hao wazungu si ndio waliowadanganya kwamba kupima na kutangaza matokeo ya maambukizi ya Corona kila siku ndio njia pekee ya kukabiliana na maambukizi mapya na nchi yoyote itakayotumia njia tofauti haiwezi kudhibiti Corona? Kama kawaida yenu ya kuabudu wazungu mkaingia kichwakichwa sasa hivi Corona inawatia mimba bila kutumia Condom
 
Professor of wa chuo maarufu nchini Kenya katika mahojiano na kituo cha television cha Citizen amesema baada ya miradi ya Standard Gauge Train na Mwalimu Nyerere Hydro Power Project vikikamilika uchumi wa Tanzania utapanda na kuzidi uchumi wa Kenya.
Kwa wenye akili kama huyu hili lipo wazi, Hongera Tanzania, Hongera Dr JPM
 
Tutaipita Kenya, Kenya lazima ipitwe, Wakenya hawana lolote tutawapita, hawa Wakenya nimeishi kwao Kibera tutawapita, Wakenya...mama fire naungua Wakenya...moto Wakenya....Kenya...Kenya uuuuuuiiiiiiiii....Kenya Wakenya.
Uuuuiii! Kenya thiiitimaaa! Huu wimbo utawafaa sana kama wimbo wao wa taifa. Angalau waache kudandia ule mwingine wa wazulu.
 
Kivipi yaani kuhamia Dodoma.

Serikali ya Kenya itahamia Dodoma ama.

Kama ni Serikali ya Tanzania tayari yote imeshahamia Dodoma na Rais kaapishwa Dodoma.
Hongereni kwa kufanikiwa kutumia miaka zaidi ya 35 kuhamia Dodoma. Mzee atakata utepe lini?
 
Back
Top Bottom