ibradebo
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 302
- 177
Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza.
Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu!
Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu!
Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.