tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Tanzania Chamber of commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) Jobs, March 2021- IT Systems Officer

    JOB VACANCY Click below to read more and apply: 1. IT Systems Officer- (1 Post) Deadline for applications: 31st March 2021
  2. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  3. Tanganyika Law Society

    JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

    Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana. Kuna wadada wameandika "hatimaye tumepata Rais wetu sasa" mwingine kaandika "Wanawake...
  5. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Mungu bado hajalitupa taifa lake la Tanzania

    Nakumbuka mwaka 2012 nikiwa mkoa mmoja nyanda za juu kusini nilikuwa mwana maombi upande wa UKWATA.Kipindi Fulani wana maombi walikubaliana kufanya mfungo wa takribani siku 30 huku wakiomba Mungu awajibu mambo kadhaa. Mambo hayo ilijumuisha kubainisha harakati za kichawi kwenye ile shule, Mungu...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Lema: Narudi Tanzania

    Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania, Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema...
  7. NairobiWalker

    JamiiForums Tanzania Tanzania wapata Suluhu baada ya Pombe

    Hongera Tanzania kwa Suluhu.
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

    SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano, Samia Suluhu Hassan anaapishwa leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 6 kufuatia kifo cha Rais John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. WASIFU WA SAMIA SUHULU...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kubwa kuliko yeyote, tuwe na matumaini

    Tumepata shida hii tena, lakini bila shaka maisha ya watanzania ni lazima yaendelee pamoja na kuwapoteza wapendwa wetu. Tusilie sana kama vile watu tusiokuwa na matumaini. Tuchanganye yale yote mazuri waliyotuachia Marais wetu Nyerere, Mkapa na sasa Dr. Magufuli kama mtaji katika kuijenga...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania asema maadili ya Uislamu yanataka marehemu wote wakumbukwe kwa mazuri

    Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021. Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

    Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani. Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Shairi: Tanzania takumbuka, lala pema Magufuli

    MAGUFULI, DAIMA TUTAKUKUMBUKA Kifo hakina rufani, pia hakina huruma, Kimempoka kundini, Rais mwenye heshima, bado ali ujanani, mudawe umesimama, Daima tutakuenzi, Tangulia Magufuli Kifo hakina rufani, kwa kila mja lazima, Kwa uchungu na huzuni, natakabari Karima, Mjao yu mikononi, Dunia...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  15. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Daraja la Ileje kubomoka: Uhandisi Tanzania umeshuka Viwango?

    Nimeangalia picha ya daraja lililojenga na kuanguka nikajiuliza, ni mhandisi gani aliyejenga daraja lile, je bado amesajiliwa na leseni yake ya uhandisi bado iko hai anafanya kazi kama kawaida? Daraja hili limefeli kwa mchanganiko wa torsional deflection na bending deflection, na hayo ndiyo...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itapata kiongozi kama Hugo Chavez? Watanzania hatunufaiki na rasilimali zetu

    Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania. Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo kama tungekuwa na kiongozi makini basi tusingesikia wananchi wanapata tabu. Leo hii wananchi...
  17. Ushimen

    JamiiForums Tanzania KNCV Tuberculosis Foundation Tanzania Jobs, March 2021- (3 Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Research Assistant (Manyara)- 1 Post 2. Research Assistant (Mwanza)- 1 Post 3. Regional Technical Officer (Arusha)- 1 Post Deadline for applications: 02nd April 2021
  18. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Bei mbovu kuwahi kutokea ya zao la mpunga yadumu misimu miwili Tanzania

    Kwa miaka takribani 15 sasa hakujawahi kutokea kuanguka kwa bei ya Mpunga. Kilimo cha zao la Mpunga kwa msimu wa mwaka 2020/ 2021 kinaleta mashaka makubwa. Bei ya wakati wa mavuno kwa gunia la serikali la debe 6 kwa msimu 2020 kipindi cha mavuno Tsh 50,000 hii ni bei ya mwezi wa sita...
  19. Ushimen

    JamiiForums Tanzania VSO Tanzania Jobs and Volunteering Opportunities, March 2021

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Food And Security Nutrition Adviser (Kagera) 2. Employability And Entrepreneurship Adviser (Shinyanga) 3. Employability And Entrepreneurship Adviser (Mwanza) 4. Project Officer (Tanzania) Deadline for applications...
  20. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Diva amenyanyulia mikono Diamond, ndio msanii namba moja kwa sasa Tanzania

    Habari wadau, Kupitia Instagram yake ameandika haya:- “Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha nipost. Apa tulikuwa Marafiki sana apa …sana… semeni ukweli asa hivi ni msanii gan anamshinda...
Back
Top Bottom