Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,935
26,637
SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio ameamua kumuita Magufuli na in his stead akamsimika Mama Samia Suluhu Hassan kuongoza Taifa hili la Tanzania.

URAIS WA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN IS A PURELY ACT OF GOD. ( VIS MAJOR ) Hajachaguliwa na mtu wala timu wala hajaiba kura wala hajafanya chochote isipokuwa Mungu mwenyewe kwa sababu anazozijua mwenyewe ( ambazo obviously lazima ziwe sababu sahihi na bora to the interest of all the people of Tanzania bila kujali dini zao vyamavyao makabila yao au rangi zao ) ameamua kumchagua Mama Samia Suluhu Hassan.

Hakika tangu tupate uhuru Mama Samia ndio Rais wa kwanza ambae amechaguliwa kuongoza taifa hili na Mungu mwenyewe moja kwa moja. Nyerere aliteuliwa na chama chake,Mzee Mwinyi aliteuliwa na chama chake, Mzee Mkapaalichaguliwa kwa kupigiwa kura na watanzania kama ilivyo kuwa kwa Kikwtete na Magufuli lakini Mama Samia amechaguliwa na Mungu mwenyewe kwa hiyo Watanzania tutarajie neema kubwa sana chini ya uongozi wa mama Samia kwa sababu Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kwa moja na kazi ya Mungu haina makosa.

Kwa wale watanzania ambao walipo teza haki zao katika kipindi cha miaka mitano nawaambia FURAHINI KATIKA BWANA NASEMA TENA FURAHINI SANA (WAFILIPI 4: 4-7) kwa sababu HII NI SIKU AMBAYO BWANA AMEIFANYA (ZABURI 118: 24) Mungu anakwenda kuirudisha miaka hiyo mitano ambayo imeliwa na nzige (YOELI 2:25-27)

kwa wasio amini katika Mungu kama Kiranga bila shaka mnaamini katika "nature" sasa itoshe kusema kwamba MAMA SAMIA SULUHU HASSAN HAS BEEN NATURALLY SELECTED TO BE THE PRESIDENT OF THIS BELOVED NATION BY MOTHER NATURE HERSELF. Nature ndio imeamua Magufuli arejee katika kwayo na nafasi yake iwe replaced by Mama Samia SULUHU HASSAN.

SABABU NAMBA MBILI : IN THE REALM OF THE SPIRIT "WOMEN ARE A PORTAL WHICH CONNECT THE HEAVEN TO THE EARTH". Katika ulimwengu wa rohoni MWANAMKE NI LANGO LINALO TUMIKA KUUNGANISHA KATI YA MBINGU NA DUNIA. Mfano wake ni huu wewe binadamu roho yako imetoka kwa Mungu mbinguni, ili uje hapa duniani lazima upitie kwenye tumbo la mwanamke.

Hapo mwanamke ametumika kama lango.

Hata wakristo wanao amini katika Uungu wa Kristo wanajua kwamba KRISTO (AMBAE NI NAFSI YA PILI YA MUNGU ILIYO ISHI MBINGUNI ) alikuja duniani kupitia mwanamke. (MAMA MARIA) Mama MARIA alitumika kama lango la kuinganisha mbingu (KRISTO) na dunia.

Mungu akitaka kuleta mbingu duniani hufanya hivyo kupitia mwanamke. Believe my words Mungu anaenda kuileta MBINGU (NEEMA) nchini Tanzania kupitia MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. MUNGU MWENYEWE ANAENDA KULIONGOZA TAIFA LA TANZANIA KUPITIA MAMA SAMIA. MAMA SAMIA AMETUMIKA KAMA LANGO AMBALO MUNGU MWENYEWE ANALITUMIA KUDHIHIRISHA MAPENZI NA MIPANGO YAKE JUU YA TAIFA LA TANZANIA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU MBARIKI RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMBAE WEWE MWENYEWE UME MCHAGUA KULIONGOZA TAIFA LAKO HILI LILILO BARIKIWA KULIKO MATAIFA YOTE DUNIANI
 
... Mama Samia ndio Rais wa kwanza ambae amechaguliwa kuongoza taifa hili na Mungu mwenyewe moja kwa moja. Nyerere aliteuliwa na chama chake,Mzee Mwinyi aliteuliwa na chama chake, Mzee Mkapaalichaguliwa kwa kupigiwa kura na watanzania kama ilivyo kuwa kwa Kikwtete na Magufuli lakini Mama Samia amechaguliwa na Mungu mwenyewe
Mama Samia alichaguliwa na Hayati JPM kuwa Mgombea Mwenza, na kisha amechaguliwa na vifungu vya sheria kuwa rais. Tusimsingizie Mungu
 
Mimi binafsi kwa kutoelewa kwangu haya masuala, nikafikiri kuwa nafasi hii aliyopata Mama yetu Mh. SSH inatokana na Katiba ya JMT:

(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi..., basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais.

Sa sikujua kuwa Mama yetu kumbe ni Chaguo la MM!
 
54 Reactions
Reply
Back
Top Bottom