Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Leo katika historia ya Tanganyika, tarehe 7 Julai ni siku yenye umuhimu wa pekee kwani ndiyo siku ambayo Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) kilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1954 jijini Dar es Salaam.
Chama hiki kilizaliwa kutokana na mageuzi ya chama cha kijamii cha Tanganyika...
Tunaomba tulipwe fedha zetu za kujikimu.
Mtumishi anapaswa kulipwa fedha za kujikimu kwa wakati ili aweze kukabiliana na mazingira mapya ya kazi. Hata hivyo, sisi watumishi wa Halmashauri ya Tanganyika hadi leo hatujalipwa, wala hatujapewa taarifa yoyote kuhusu malipo hayo.
Tunaomba wahusika...
Anonymous
Thread
ajira mpya
halmashauri
katavi
mkoa wa katavi
mwaka wa fedha
tanganyika
Ukisoma ibara zote za Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kosa pekee la uhaini ambalo limetatwa kwenye katiba ni uhaini.
Kwa mujibu ya ibara ya 28 (4) uhaini ndio kosa kubwa kuliko yote hapa nchini.
Maana yake kama mtu ni mhaini lazima uwe na ushahidi uliokamilika kama kweli uhaini...
Hili jina lina utukufu fulani hivi na vyote vinavyotajwa na jina hili ni vitu muhimu kabisa na vina impact kubwa.
Haya twende kazi"
Tanganyika Law Society (hawa watu mziki wao mnaujua);
International School of Tanganyika (hii shule iko proper sana);
Tanganyika packers (yuko Mwamposa pale...
Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
Mchango wa Sheikh Hassan bin Amir: Mohamed Said anaeleza kuwa Sheikh Hassan bin Amir, aliyekuwa Mufti wa Tanganyika miaka ya 1950 na 1960, alikuwa na mchango mkubwa kwa kuuza kadi za TANU ndani ya msikiti na kuhamasisha Waislamu kumuunga mkono Mwalimu Nyerere ili kuikomboa nchi kutoka kwa...
Naona dalili za Muungano kuvunjika zinanukia.
Kila kona ya Tanganyika ni minog'ono juu ya Wazanzibari kuwanyonya Watanganyika kwenye kila sekta.
Mfano, teuzi nyingi kwa sasa wanapewa Wazanzibari hata kwenye masuala ambayo sio ya muungano.
Mbaya zaidi Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi...
Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?
Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?
Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama...
Taifa la Tanganyika limejifunza mengi baada ya kifo cha Hayati Rais John Magufuli na kupelekwa utumwani, yaliyotokea oktoba 29 yamerudisha kumbukumbu za Watanganyika.
Katika mijadala ya kisiasa hapa kwetu, mara nyingi lawama zote hupelekwa moja kwa moja kwa chama tawala, CCM. Wengi husema chama hiki ndicho chanzo cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Lakini kabla ya kufikia hitimisho hilo, ni muhimu kujiuliza: kwa nini tumefika hapa tulipo?
Je...
Ardhi ya Tanganyika haitazamwi tu kama eneo la kijiografia, bali kama madhabahu takatifu iliyowekewa wakfu kiroho.
Tainsi ya kupigania uhuru na awamu za uongozi wa nchi, utulivu na amani ya kipekee ya eneo hili vinatafsiriwa kama neema maalum na kibali cha kimungu kilichopo juu ya udongo wake...
Sisi watu wa Tanganyika ni ama hatuna akili na hatujitambui hata kidogo au tunajizima tu data ilimradi liende kwamba hatujipendi.
Fikiria kuwa Zanzibar ina majimbo 54 ya uchaguzi. Katika majimbo hayo kila jimbo lina muwakilishi mmoja kwenda baraza la wawakilishi lakini pia lina mbunge kwenda...
Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989.
Miaka 37 imepita.
Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita.
Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja.
Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa...
Mijadala ya ambayo sisi watanganyika tukae watazamaji na hakimu ni ili la muungano.
Kwenye huu muungano kutatokea vita mbili ya wenye mali na maisha tanganyika vs wenye mali znz.
Victor Madaha ananukuu malalamiko ya watu: "Wazanzibari wanalalamika kazi zao zinachukuliwa na hawa kutoka Tanganyika... wamekuja kuwa watanganyika wasitibiwe kwenye hospitali zanzibar".
Kuhusu mzigo wa bima ya afya: "Mahospitali kwa maana ya bima zile wamekuwa wakitibiwa sana watu wa bara sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.