Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Utangulizi
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulianzishwa tarehe 26 Aprili 1964 na kuzaa taifa la Tanzania. Muungano huu umeendelea kudumu kwa zaidi ya nusu karne licha ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika vipindi tofauti. Wapo wanaodhani kuwa Muungano unaweza kuvunjika siku moja...
Baada ya Zanzibar kufungwa 3 nunge na Uganda, ifike kipindi wawe wanachukua wachezaji wa Tngayika ili kuenzi mpira wetu na undugu wetu mzuri wa miaka kwa miaka!
Musukuma: Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi awadhibiti Mawaziri, Wabunge na Wawakilishi wake waache ubaguzi, mbona Wazanzibari wanatibiwa Tanganyika.
Musukuma: Robo tatu ya Wachimba madini Geita ni Wazanzibari.
Waitara: Mbunge kutoka Zanzibar aliyesema kuna Yuda afukuzwe bungeni na amtaje Yuda ni...
Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa dhati kwa Wanasheria Wakuu wa pande zote mbili kuweka wazi na kueleza kwa kina ni mambo gani hasa...
Kuna mambo hapa Afrika ndio pekee kufichwa sana au kupoteza ushaidi. Ndio maana Afrika ni ngumu kupata ushahidi wa makaratasi.
Mfano October 29, 2025 inatosha kusema ushahidi unafutwa kwa nguvu kubwa.
Suala la muungano lilikuwa la ubabe na lenye mambo ya ajabu.
Kwanini Aboud Jumbe alipata...
Objection ya CCM dhidi ya uwepo wa Serikali ya Tanganyika ni baseless (or at least outdated).
Hapa duniani ipo mifano kadhaa ya nchi ambazo zina muungano unaofuata mfumo wa shirikisho (federal system) na miungano yao haiteteleki.
Kwa leo nitatoa mifano mitatu ifuatayo:
◾️Ujerumani: Hili ni...
Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo wa aina hii na bado unakuta wanaona ni sawa na wengine wanatetea.
Kuna haja ya kufanyika ustaarabu...
Chanzo hiki kinatoa kumbukumbu za kihistoria** kuhusu taasisi ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika iliyoanzishwa mwaka 1933 kwa lengo la kuendeleza elimu na maslahi ya Waislamu. Mwandishi anasimulia uzoefu wake wa utotoni akisisitiza umuhimu wa sherehe za maulidi zilizokuwa zikiwaleta watu...
Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona.
Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto...
Ni siku nyingine tena ya Ligi Kuu ya NBC, ambapo lmkoani Kigoma kutapigwa mchezo wa kusisimua kati ya wenyeji Mashujaa FC na Yanga SC.
Mchezo huo wa saa 10:15 jioni utachezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika, huku Mashujaa FC wakiwakaribisha Wananchi katika muendelezo wa ligi hiyo.
Nini...
Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
Nimedokezwa na kijana mmoja ambaye yupo Chuo kikuu kimoja hapa nchini.
Anadai kuwa vijana kutoka Zanzibar wamemdokeza kuwa wao wanapata mikopo mara mbili. Yaani kutoka bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya Juu Zanzibar na Pia Tanganyika.
Huu Muungano utawaumiza sana Watanganyika.
Hivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama?
Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama majirani
Watanzania tupige kura kuhusu huu muungano au maagano
laZima muungano uwepo Kwa mahitaji ya wananchi
Andika NDIYO kama unaupenda muungano
Andika HAPANA kama huitaji Muungano
1. Kuongea?
2. Kuvaa?
3. Rangi?
Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi
Au waislam ndio watakuwa walengwa?
Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika.
Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano...
Sioni tatizo viongozi wa Zanzibar wanapoweka mbele maslahi ya Zanzibar na kushauri Watanganyika wapunguzwe huko. Mwisho wa siku, wao wanautetea na kuupigania upande wanaouamini kuwa ni wao.
Kinachoniumiza ni hali ya Bara. Uzalendo ambao ulipaswa kuwa nguzo ya uongozi unaonekana kufifia siku...
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa la Tanganyika, alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano wa T + Z ulikuwa uamuzi mbaya
Madhara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni makubwa sana hayafai kuelezea
Naweza kuelezea kwa ufupi sana lakini taarifa nyingi zinapatikana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.