Bendera ya Tanganyika, Ishara ya Ukombozi

Bendera ya Tanganyika, Ishara ya Ukombozi

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,774
Reaction score
12,180
Hakuna Ukombozi hadi Tanganyika huru.

Vijana Tiktok wameanza upya.


 
Na ifahamike wazi mtu aliyebakia kwa sasa wa kuirejesha Tanganyika iliyo huru mikononi mwa Watanganyika tuliolala usingizi wa pono, kiasi cha kuruhusu wakoloni weusi kutuendesha wanavyotaka wao! ni Tundu Lissu tu.
 
Back
Top Bottom