Leo ndio nimeamini Tanganyika itapiganiwa na Watanganyika wenyewe

Leo ndio nimeamini Tanganyika itapiganiwa na Watanganyika wenyewe

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,331
Kwa hali jinsi ilivyo tusitegemee mtu kutoka visiwani au Comoro aje aipiganie nchi yetu Tanganyika

Yule asuman wa tume nadhani ni mvisiwan yule ni ngumu SANA kukubal hali ya uchaguzi uliopita ulisababishwa na dada yake kushupaza shingo na ndipo akamchagua yeye kuziba kelele halali za WATANGANYIKA

Kwakuwa hakuna ndugu zenu waliouwawa bas Tanganyika inahitaji kupiganiwa na WATANGANYIKA

Na hapa nchi yetu Tanganyika inahtajika kupiganiwa tupate nch yetu kamili
 
Back
Top Bottom