tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Nchimbi atatakiwa kuachia Umakamu, tutumie fursa hii kuchochea Uhuru wa Tanganyika.

    Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru. Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Njombe man-eaters: Simba waliokula zaidi ya watu 1500 Kusini mwa Tanganyika 1932-1947

    Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters? Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake. Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kwaheri John Iliffe (1939 - 2026) Muokozi wa Historia ya Tanganyika

    https://youtu.be/JUp3UJpK4U8?si=T5QSIKAgYlmQXyT0
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Maisha ya John Lyimo Mwanasoka Nguli wa Tanganyika Enzi za Gossage Cup

    Kulingana na chanzo kipya kuhusu magwiji wa soka walioachwa, simulizi ya Mohamed Said inamwangazia John Robert Limo (John Limo), mchezaji hodari wa miaka ya 1960 aliyekuwa akicheza timu ya TPC mjini Moshi na baadae kuandika kitabu cha maisha yake ya soka. Hizi hapa ni nukuu muhimu kumhusu yeye...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Inawezekana njama kufanywa na mtu mmoja? Alafu akapanga kuzunguka Tanganyika na Zanzibar kuchoma majengo ya serikali?

    Kwa mujibu wa sheria yetu ya kanuni ya adhabu. Njama au conspiracy kwa kiingereza inaweza kufanywa na mtu mmoja? Yaani mtu mmoja apange njama. Yeye mwenyewe peke yake apange kuchoma moto vituo vya polisi, Ikulu ya Tanganyika na Zanzibar. Achome mashule. Wakati huo huo apande boti aende Zanzibar...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wakazi Jaws Corner: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una manufaa mapana

    Wakazi wa eneo la Jaws Corner, Mji Mkongwe Zanzibar, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake katika eneo hilo, wakisema imewapa faraja na kuthibitisha kuwa ni kiongozi anayewathamini na kuwajali wananchi wa Zanzibar. Wakazi hao...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Maisha ya Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu". Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kufariki na kuzikwa nchi ya Tanganyika rasmi 1964 sio makosa ya Zanzibar na Wazanzibar ni makosa Mwl Nyerere

    Kufariki na kuzikwa nchi ya Tanganyika rasmi 1964 sio makosa ya Zanzibar na Wazanzibar ni makosa ya Baba yenu,Mtakatifu wenu,Mwenyeheri Nyerere. Daima Wazanzibar wapo sahihi kujivunia Uzanzibari wao hata pale unapotaka kujaribiwa kuzikwa kwa tamaa za siasa za kimabavu. Wazanzibar wanayo haki...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mwaka 1933, kutokana na hofu kuwa African Association ilionekana kuwa na sura ya Kiislamu pekee, waasisi waliamua kutenganisha dini na siasa ili kuwavutia Wakristo. Mzee Bin Sudi na Kleist Sykes walisema: "tuanzishe taasisi nyingine ili tuiondoe Uislamu ndani ya African Association". Jambo hili...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano." Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/TFgNAKhXvkA?si=yZRkLlA-39W6CCjA
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nyerere alishauriana na nani kuunganisha Tanganyika na Zanzibar?

    Suala la muungano sio suala la hitaji binafsi la mtu maana ni suala ambalo linagusa taifa vizazi na vizazi. Ninadhani mpaka kufika suala la kuungana au kutoungana ilibidi maoni yakusanywe kutoka kwa wananchi wa pande zote mbili . Yani kama ilivyo utaratibu wa kupiga kura za rais ilibidi iwe...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Connection walizopewa wageni.. Ndio zinazoitesa Tanganyika

    Nauleta mjadala huu unaogusa kiini cha unyonyaji na usaliti wa kiuchumi hapa Tanganyika, ambapo rasilimali za umma zimegeuzwa kuwa mali ya watu wachache na washirika wao wa kigeni. Nitachambua yale ya msingi.. Mtanisaidia mengine 1. Ufisadi na Connection za Kiwaki Mifumo ya kiuchumi imetekwa...
  17. UTPC

    JamiiForums Tanzania Njia Mbadala za Uhifadhi Tanganyika: Mikakati ya kugeuka kutoka uharibifu hadi uendelevu

    Baada ya kubaini ukubwa wa tatizo la ukataji wa miti ovyo na kuchambua sababu zake pamoja na wajibu wa wahusika, swali linalobaki ni moja: Je, Tanganyika ina uwezo wa kuokoa misitu yake au itaendelea kushuhudia uharibifu hadi rasilimali hii itakapopotea kabisa? Uchunguzi unaonyesha kuwa pamoja...
  18. UTPC

    JamiiForums Tanzania Usimamizi wa Rasilimali za Misitu Tanganyika: Nani Anawajibika?

    Katika makala iliyopita, uchunguzi huu uliibua hatari inayolikabili eneo la Tanganyika mkoani Katavi, ukataji wa miti ovyo unaotishia si mazingira pekee, bali pia mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 29 yatokanayo na biashara ya kaboni. Lakini nyuma ya miti inayokatwa na mashamba yanayopanuka...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mnaomtuhumu M/M/kiti CHADEMA - Tanganyika Mh John Heche; Rudini studio tena, mkarekodi upya filamu yenu. This one is very ridiculous...!

    Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu; 1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇 ✓Ni Bank Account Number...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hongereni Zanzibari kwa Maridhiano. Tanganyika tumebaki tunatekana na kuuana kisa vyama! Uchumi wa Zanzibar unaenda kupaa

    Huwezi amini! Anayemteka Mtanganyika ni Mtanganyika, anayemuua Mtanganyika ni Mtanganyika, anayempoteza Mtanganyika nu Mtanganyika. Ukimuuliza kwanini unamfanyia hivyo kaka yako mdogo wako, anasema Mwansiasa. Ipo Siku akili za Watanganyika waliokabidhiwa Bunduki watagundua kwamba wanaua...
Back
Top Bottom