Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika.
Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii nchini ,ni wazi Tanganyika yetu ni miongoni mwa mataifa yenye watu, wavivu, waoga na wabinafsi...
Ilianza kama utani kwenye Bandari za Tanganyika,Mbuga n.k
Leo naona za Nchimbi ,kama ni kweli itoshe sema mstari mwekundu kwa Tanganyika umevukwa , hii ni history chafu kuwa katika tafa hili, Mzee Warioba wenda hali yake sio nzuri kama baba wa Taifa.
Ni wakati sasa Mungu kuamua Ugonvi kama...
Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
awamu
ccm
dawa
hatua
hatuna
hii
ili
imara
jitihada
kuimarisha
mfumo
muungano
nafasi
ndani
nguvu
sawa
system
taifa
tanganyika
unyonge
usawa
vingi
viongozi
viongozi wa ccm
vizazi
wana
wana ccm
wasiwasi
watanganyika
wazanzibari
Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru.
Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters?
Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake.
Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
Kulingana na chanzo kipya kuhusu magwiji wa soka walioachwa, simulizi ya Mohamed Said inamwangazia John Robert Limo (John Limo), mchezaji hodari wa miaka ya 1960 aliyekuwa akicheza timu ya TPC mjini Moshi na baadae kuandika kitabu cha maisha yake ya soka.
Hizi hapa ni nukuu muhimu kumhusu yeye...
Kwa mujibu wa sheria yetu ya kanuni ya adhabu. Njama au conspiracy kwa kiingereza inaweza kufanywa na mtu mmoja?
Yaani mtu mmoja apange njama. Yeye mwenyewe peke yake apange kuchoma moto vituo vya polisi, Ikulu ya Tanganyika na Zanzibar. Achome mashule. Wakati huo huo apande boti aende Zanzibar...
Wakazi wa eneo la Jaws Corner, Mji Mkongwe Zanzibar, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake katika eneo hilo, wakisema imewapa faraja na kuthibitisha kuwa ni kiongozi anayewathamini na kuwajali wananchi wa Zanzibar.
Wakazi hao...
Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu".
Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
Kufariki na kuzikwa nchi ya Tanganyika rasmi 1964 sio makosa ya Zanzibar na Wazanzibar ni makosa ya Baba yenu,Mtakatifu wenu,Mwenyeheri Nyerere.
Daima Wazanzibar wapo sahihi kujivunia Uzanzibari wao hata pale unapotaka kujaribiwa kuzikwa kwa tamaa za siasa za kimabavu.
Wazanzibar wanayo haki...
Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa).
Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
Mwaka 1933, kutokana na hofu kuwa African Association ilionekana kuwa na sura ya Kiislamu pekee, waasisi waliamua kutenganisha dini na siasa ili kuwavutia Wakristo. Mzee Bin Sudi na Kleist Sykes walisema: "tuanzishe taasisi nyingine ili tuiondoe Uislamu ndani ya African Association". Jambo hili...
Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika)
Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano."
Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
Suala la muungano sio suala la hitaji binafsi la mtu maana ni suala ambalo linagusa taifa vizazi na vizazi.
Ninadhani mpaka kufika suala la kuungana au kutoungana ilibidi maoni yakusanywe kutoka kwa wananchi wa pande zote mbili .
Yani kama ilivyo utaratibu wa kupiga kura za rais ilibidi iwe...
Nauleta mjadala huu unaogusa kiini cha unyonyaji na usaliti wa kiuchumi hapa Tanganyika, ambapo rasilimali za umma zimegeuzwa kuwa mali ya watu wachache na washirika wao wa kigeni.
Nitachambua yale ya msingi.. Mtanisaidia mengine
1. Ufisadi na Connection za Kiwaki
Mifumo ya kiuchumi imetekwa...
Baada ya kubaini ukubwa wa tatizo la ukataji wa miti ovyo na kuchambua sababu zake pamoja na wajibu wa wahusika, swali linalobaki ni moja: Je, Tanganyika ina uwezo wa kuokoa misitu yake au itaendelea kushuhudia uharibifu hadi rasilimali hii itakapopotea kabisa?
Uchunguzi unaonyesha kuwa pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.