tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tukio gani muhimu katika historia ya Tanganyika lilitokea siku kama ya leo, Aprili 17, 1953?

    Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam. Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed...
  2. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania DC na Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Tanganyika matatani kwa Rushwa

    Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula najua humu great thinker...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa TLS Dkt. Edward Hosea na mwenzake wamwaga fulana kwa wajumbe

    Uchaguzi wa rais chama cha wanasheria Tanzania (TLS) unaofanyika jijini Arusha umeshika kasi kukiwa na wagombea watano ila nimeona watu kadhaa wakiwa wamevaa t-shirt nyeupe zikiwa na picha za wagombea tofauti mmojawapo akiwa ni Dr. Hosea na Shehzad Wall. Sijajua kwa nini wagombea hawa wawili...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tuinyooshe Katiba kabla ya kunyoosha maslahi Tanzania, Zanzibar na Tanganyika ndani ya Muungano

    Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ama ni nchi. Katiba lazima inyooshe kuhusu maswali haya maana ndiyo yatakayotumika...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"?

    Mambo vp waungwana wa jamiiforums. Wagombea wa nafasi huko Tanganyika Law Society (TLS). Je ipi ni sahihi kati ya "For President" au "For Presidency"? Lengo kuu la kukutana katika platform hii mara kwa mara ni kuelimishana na kusahihishana katika masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya...
  6. Tanganyika Law Society

    JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

    Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri. Updates; Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini. Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bi. Titi Mohamed: Mwanamke shujaa mwana TANU mpigania uhuru wa Tanganyika

  9. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa Mheshiwa Rais: Tunaomba Utupe Ardhi ya Tanganyika Packers Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tawi la Mbeya

    Mheshimiwa Rais! Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU. Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani Bi. Zainab Sykes, mhifadhi wa hazina ya nyaraka za historia ya kupigania huru wa Tanganyika baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu

    BURIANI BI. ZAINAB SYKES MUHIFADHI WA HAZINA YA NYARAKA ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu Bi. Zainab Sykes baada ya mshtuko kupita niliinamisha kichwa nikarejea utotoni na nikajaribu kukumbuka mama zangu ambao kwa hakika nilikuwa na...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kodi ilirahisisha Nyerere kudai Uhuru wa Tanganyika

    Kodi ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa lolote, lakini kodi nyingi zisizolipika ni chanzo cha kuanguka dola lolote duniani. Ukisoma historia madola mengi yalianguka baada ya watawala kuwatoza watawaliwa kodi kubwa zisizolipika ili kugharamia mipango ya serikali au matumizi binafsi ya watawala...
  12. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

    Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021. Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC. Bwana ametoa, bwana ametwaa --
  13. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuitwa Tanganyika, Tanzania iliitwaje?

    Habari wana historia wa JF na wadau mbalimbali, Binafsi nimekua nikiwaza sana ni kwanini walichagua jina la Tanganyika wakati kulikua na ziwa Victoria ambalo ni kubwa kuliko ziwa Tanganyika lakini pia kulikua na mlima Kilimanjaro ulio mrefu zaidi barani Afrika. Licha ya hivo kulikua na mbuga za...
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu majina ya hawa samaki wa ziwa Tanganyika naomba anisaidie

  15. Gavana

    JamiiForums Tanzania Tanganyika yaivamia Zanzibar

    NATAMANI KUFUKUWA MAKABURI - part X Maalim Salim Kombo Saleh (ZPPP) Mbunge wa Jimbo la Tumbe, Pemba katika serikali ya uhuru alikuwa waziri wa sheria na mambo ya ndani wa Zanzibar. Mwaka 1994 alinieleza kuwa siku ya tano baada ya mapinduzi walikabidhiwa kwa Mkuu wa Gereza la Dodoma...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Wakati Chato tunaendelea, basi tuiboreshe na Tanganyika - Tanga

    Wana jf heshima zenu zote nilishamkabidhi mungu bila kujali, dini, chama au umri. Mheza kama waenda Tanga mjini ipo sehemu yaitwa TANGANYIKA kabla ya kufika MKANYAGENI, na kabla ya kufika BAGAMOYO, KILAPULA, PONGWE, MAWENI, KANGWE then kwa MINCHI to TANGA MJINI. Sikuwahi jua chanzo cha jina...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Muungano, Karibu Tanganyika

    Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya Uchaguzi tukiwa kama Tanganyika. Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima Uchaguzi uliofanyika hamna kitu. Yaani yale majigambo yenu wapinzani nikaona mara hii Tanzania hapatakalika, huku CHADEMA inawaka moto akiongoza yule...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sehemu nzuri, ona hii hotel kisiwani, ziwa Tanganyika

    Inaitwa Lupita.
  19. chaliko

    JamiiForums Tanzania Je, Dayosisi ya Central Tanganyika (D.C.T) inaendeshwa kihuni?

    Ninawaslimu wote kwa Jina lipitalo majina yote. Awali ya yote niseme tu kuwa 1. Taarifa yangu ipo katika mfumo wa Swali. 2. Sina lengo la kuchafua Taasisi au mtu yeyote katika taarifa hii. 3. Nitakacho andika hapa nimekifanyia uchunguzi binafsi. Leo naomba niwasilishe uchunguzi mdogo...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Simulizi la Bibi, maisha ya Da es Salaam ya Tanganyika

    Dar es Salaam ya Tanganyika ilikuwa na fursa nyingi sana za kazi kwa vijana. Vijana wakitoka mikoani na walipata ajira na kuendesha maisha yao. Ajira nyingi zilikuwa Bandarini kazi ya ukuli, hii ilikuwa ni nguvu yako tu, wengi walikua ni vibarua wa siku. Kulikua na kazi za Reli, kung’oa...
Back
Top Bottom