Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,589
- 6,463
Tanganyika tunafeli sana tuna kisiwa cha kitalii kizuri lakini hatukitangazi , vivutio vilivyopo mafia havina utofauti na Zanzibar lakini hatuweki juhudi kukitangaza kisiwa cha Mafia , sina maana ya ubaguzi mimi ni muumini wa Muungano ila tu nakumbushia pia vivutio vyetu vya bara huku