tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Makosa SUGU Katika Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/XPUzrHfjH2s
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Tanganyika, Ishara ya Ukombozi

    Hakuna Ukombozi hadi Tanganyika huru. Vijana Tiktok wameanza upya.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimeamini Tanganyika itapiganiwa na Watanganyika wenyewe

    Kwa hali jinsi ilivyo tusitegemee mtu kutoka visiwani au Comoro aje aipiganie nchi yetu Tanganyika Yule asuman wa tume nadhani ni mvisiwan yule ni ngumu SANA kukubal hali ya uchaguzi uliopita ulisababishwa na dada yake kushupaza shingo na ndipo akamchagua yeye kuziba kelele halali za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Chande. Imevunja Umoja wa Tanganyika na Zanzibar

    Tunzeni hii kumbukumbu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sasa Maandamano na harakati zimekuwa ni za Kuidai Tanganyika

    Warioba aliwahi kusema CCM waipe Tanganyika mamlaka yake Kabla watu hawajaidai. Maandamano yote yajayo yanakuja na hoja ya "Free Tanganyika". Sasa imagine Rais kutoka Zanzibar unawazuiaje Watanganyika kuidai nchi waliyokualika tu. CCM itatuma machawa wake kuongea nini. Hatimaye hatari...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Public Statement: Chande's Commission Has No Answers For The Mass Killings of Innocent Tanganyika Citizens during and after 29th October 2025 Sham Ele

    The Chande Commission Has No Answers for the Killings of Tanganyikan Citizens on October 29, 2025 For Urgent Release Dar es Salaam, 02 April 2026 No. 56 1. It has been 6 months since terrorist leader Samia Suluhu Hassan and her terrorist son Abdul Hafidh Ameir, terrorist daughter Wanu Hafidh...
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inavyoichafua Tanzania (Tanganyika) kimataifa

    Zanzibar kwa kutumia mamlaka yao ya ndani imekuwa ikisajili meli za walanguzi wa madawa ya kulevya na kuwaruhusu kutumia bendera ya Tanzania. Hali hii imeiweka Tanzania katika hali mbaya sana kimataifa kuwa nchi inayosambaza dawa za kulevya duniani na hivyo kushusha hadhi kama moja ya nchi...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pole sana Tanganyika

    A stolen sovereignty.. Hakuna marefu yasiyo na ncha Bei ya mafuta Zanzibar leo
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watumishi Halmashauri ya Tanganyika hatujalipwa malipo ya likizo tangu 2024

    Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo. Yaani kama unadai shilingi Laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kupeperusha bendera ya Tanganyika kunaweza kuonekana ni uchochezi?

    Kama kichwa kinavosema, kutumia bendera ya Tanganyika kama utambulisho wa upande mmoja wa Muungano, inaweza kuhesabiwa kama uchochezi? Na bendera za Tanganyika zilitupwa au kuchomwa?
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi: Baadhi ya Halmashauri Mkoa wa Kigoma hawalipwi kulingana na Umbali

    Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao. Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanganyika itahitaji wanaharakati wao

    Wenzetu zanzabar wamefanikiwa kubadili katiba yao, wamefanikiwa kuondoa vifungu ambavyo vipo kwenye katiba ya muungano ambavyo hawavipendi lakini hakuna mtu au watu wanaopigania Tanganyika kwenye Muungano huu. Hadi mkuu wa majeshi Tanzania naye kawa chawa tu yaani Watanganyika ukiacha majembe...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya mtandaoni Tanganyika na Zanzibar mbona kama imepamba moto

    Hello Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa. Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kukamilika kwa Meli nne za mizigo, fursa Ziwa Tanganyika

    KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa. Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Ziwa Tanganyika yamtoa udenda Samia Suluhu.. Ayataka makampuni kuja kuwekeza haraka

    Tanzania imefungua vizuizi vya utafutaji wa mafuta ndani ya Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa makubwa zaidi ya maji safi duniani yaliyyo kati ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Zambia. Ziwa hilo linamiliki 17% ya maji safi duniani, lina zaidi ya spishi 1,500, na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Zanzibar wananunua mchanga wa Tanzania Bara halafu mapato ya mauzo yanarudi upya Zanzibar kujenga miradi mipya ya Muungano?

    Serikali ya Zanzibar imepanga kuanza kunuuna mchanga kutoka Tanzania Bara kwajili ya miradi. Kwa hio mapato haya yanarudi upya Zanzibar kujenga barabara, shule, hospitali, madaraja, n.k. kwajili ya maendeleo ya muungano? Taarifa ndefu ipo hapa >>> Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka...
  17. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuhifadhi?

    Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa. Hivi sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuituza mwenye? Natanguliza shukrani
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utekaji Tanganyika! Kumepoa kidogo au!?

    Kwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion! Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani.. Kuna walionusurika kutekwa Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai...
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Angalia Tanganyika tunavyopigwa na Nchi ya Zanzibar

    Wote mnaoguswa na vita vinavyoua raia wasiyo na hatua kisa viongozi wakuu wa kimamlaka, naandika hivi poleni sana Ubalozi wa Iran hapa kuna kitabu cha maombolezo mje. MADA: Mliofika kule nchini Zanzibari mtakuwa si watu wa kushangaa kwa hili ninaloandika. Rais, Daktari Hussein Ali Mwinyi...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
Back
Top Bottom