tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Kijakazi

    Hii ndiyo sababu ya Hayati Magufuli kuchafuliwa, Vaccine!

    Msimamo wa Magufuli juu Corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular jambo ambalo litawafanya wasiopenda chanjo wamkumbuke Magufuli. Kuna sababu kwa nini JWTZ...
  2. T

    Operator - Mashine ya kusaga

    Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja. Niko Dar es Salaam, Mbagala.
  3. K

    Ajira za TANESCO mchakato umesitishwa

    Mwezi october mwaka huu wa 2021 zilitangazwa nafasi kadhaa za ajira shirika la umeme Tanzania-TANESCO. Juzi hapa waliita watu kadhaa kwa baadhi ya kada. Sasa basi nikamuuliza jamaa yangu ambae kwa nafasi yake pale Tanesco sina shaka nae kabisa. Jmaa akaniambia mchakato umesitishwa kwa baadhi...
  4. Kinuju

    Mvua zimerejea kwa kasi, ngoja tuone watakuja na kisingizio gani tena

    Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana. Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena. Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni...
  5. davejillaonecka

    Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenye mgogoro wa ardhi?

    Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenya mgogoro wa ardhi takribani miaka 23 baina ya uwanja wa ndege (JNIA) na wakazi wa kipunguni (DSM). Je, Tanesco Hawaoni watapata hasara endapo wataanza kubomoa? Naomba kueleweshwa, na kuelimishwa. Asante.
  6. Nyankurungu2020

    TAKUKURU wachunguze mkataba tata kati ya Mahindra Tech na TANESCO. Huenda kuna harufu kubwa ya ufisadi

    Kwa taifa masikini kama Tanzania ambalo raia wake maskini wanakamuliwa kodi na tozo za kila aina kuingia mkataba wa bil 60+ ili kukodi software ya gharama ya bil 60+ ili hali wanafunzi hawana madarasa, maji ya uhakika, umeme na hata makazi mazuri ni kukosa busara. Hivi kweli Tanesco wanahitaji...
  7. Roving Journalist

    TANESCO wakiri kutoa huduma mbovu, ambao wameutaja kama udhaifu

    TANESCO wamekiri kutokuwa na uwezo wa uhifadhi ambao umeshauriwa kimataifa ambao ni 15%. Katika mpango mkakati wa 2020 - 2025 wamekiri kuwa utoaji wa huduma mbovu kuwa kati ya udhaifu walionao Kwa maneno ya moja kwa moja ni kuwa wamekuwa na panda shuka ya kutoa huduma ya umeme inayosababishwa...
  8. Replica

    TANESCO yautaja umeme wa gesi kama 'umeme wa gharama'

    TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme kutoka inapochimbwa inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
  9. Roving Journalist

    Mabadiliko ya vipaumbele vya serikali vyatajwa kuwa na athari kwa mipango ya TANESCO

    TANESCO wametaja mabadiliko ya mara kwa mara ya vipaumbele vya serikali kama moja kati ya kitu ambacho huathiri mpango wa TANESCO. Hayo yameandikwa katika mpango wa TANESCO wa 2020 hadi 2025. Pia wametaja mahusiano ya kimataifa na makubaliano ambayo huwa yanakuwa tofauti tofauti. Katika mambo...
  10. Roving Journalist

    TANESCO ilishindwa kufikia malengo ya kuwaunganisha wateja waliolengwa mwaka 2018

    Uunganishwaji wa wateja katika huduma muhimu ya nishati ya umeme na TANESCO kumeonesha kupungua kutoka mwaka 2015/16 na kufikia chini ya malengo mwaka 2017/18 kabla ya kuanza kupanda tena mwaka 2018/19. TANESCO wametaja kutokuwepo kwa malighafi kuwa ni sababu ya kushindwa kufikia malengo mbali...
  11. Madame S

    Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

    Habari za muda huu, Jamani ninaomba kuuliza, tulifanya process za kuomba umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu, na tuliwatumia wakandarasi wa hapo hapo tanesco kutujazia na kutuchorea na kurudisha form tanesco Tanga Mjini. Sasa siku hiyo hiyo alikuja mtu wa kufanya survey na akapima pima pale na...
  12. Analogia Malenga

    TANESCO yazitaja taasisi za Serikali kama changamoto kulipa bili

    Katika Mpango Mkakati wa TANESCO 2020 hadi 2025 wamezitaja taasisi za Serikali kuwa ni changamoto ya kwanza kwa kuwa huwa hawalipi bili zao kwa wakati. Changamoto nyingine ni watu kutumia vyanzo vingine vya nishati ya umeme kwa kuwa TANESCO hawana uthabiti wa huduma, hali ambayo inaathiri...
  13. Memento

    TANESCO sitisheni kampeni ya TUNAJIPANGA, watu wanachotaka ni kupata umeme

    Wiki ijayo jumatatu terehe 29/11, Tanesco watakua na kampeni ya TUNAJIPANGA. Lengo ikiwa ni kutambua changamoto ambazo wananchi wanazipata kwenye umeme. Hili naliona ni suala la ajabu, sasa hivi kuna shida kubwa sana ya umeme Tanesco yapaswa wajikite kutatua changamoto hizi za umeme kuliko...
  14. Analogia Malenga

    TANESCO wamejipanga kupata hasara ya Tsh. Trilioni 13.34 kwa miaka mitano ijayo

    Mahitaji ya umeme yataongezeka hadi kufikia megawatts 4,000 mwaka 2025 huku uwezo wa TANESCO ukiwa ni kuzalisha megwatts 1,600 kukiwa na tofauti ya Megawatts 2,400 ambayo ni Upungufu wa 60%. WAkati huo mradi wa Mwalimu Nyerere uliotarajia kuzalisha Megawatts 2,115 ukiwa ni kizungumkuti kutokana...
  15. M

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka. Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa...
  16. thetallest

    Ushauri wa bure kwa mtoto wa Bakhresa ambaye ni Mjumbe wa bodi ya TANESCO nchini kwa sasa

    Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii. Kama hayati Magufuli hakuwatilia Shaka hakika nyie mna wema fulani wa kiwango cha juu kwa taifa hili...
  17. Replica

    January Makamba aiagiza TANESCO isikodi mitambo ya dharura. Ataka mradi wa Rufiji usicheleweshwe

    Waziri wa Nishati, January Makamba amelielekeza Shirika la Umeme (TANESCO) kuhakikisha kwamba pamoja na kadhia ya umeme inayoendelea, Shirika hilo lisijiingize kwenye kukodi mitambo ya dharura kutokana na historia mbaya ya mitambo ya aina hiyo kuwa na gharama kubwa kwa Serikali na kugubikwa na...
  18. Suzy Elias

    Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?! Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?! Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa...
Back
Top Bottom