TANESCO: Nimenunua Luku mkanikata sh. 1,500 as DEBT COLLECTED , inatoka wapi na sijawahi kopa toka kwenu??

Ilipitishwa Bungeni mkuu watu walipiga kelele hapa hawakusikia kitu...wapangaji wanalipia kodi ya majengo Nchi ngumu sana hii sijui huwa wanafikiri nini wao ni kuongeza gharama kwenye umeme na mafuta badala ya kutoa mlundikano wa kodi huko wanakera sana hawa jamaa...
Kodi inafanya kazi ya kusafri tu nchi za nje kwa wajomba zake arabuni. Huyu hafai, bure kabisa
 
Kodi inafanya kazi ya kusafri tu nchi za nje kwa wajomba zake arabuni. Huyu hafai, bure kabisa
Mimi nadhani pia washauri wake walio Wizara ya fedha pia ambao amewakumbatia hao ndio tatizo kubwa la kodi zenye kero Nchi hii...
 
Back
Top Bottom