Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Ndivyo hivyo. Leo mchana huu nilikwewnda kwa agent wa Tanesco kununua umeme kama ilivyoelekezwa na matangazo ya Tanesco ya zaidi ya wiki sasa. Yule agent kaniambia hakuna luku -- yaani amesitisha kuuza umeme kwa sababu waliokuja kununua umeme leo hawakupata vikaratsi 3 kama Tanesco ilivyotangaza...
Imenibidi nilete changamoto hii kwa jukwaa la jamii forum ili ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo maana sisi kama watanzania tunaweza tukawa tumeingizwa mkenge uleule kama yalivyotokea mambo ya Richmund kwamba kampuni iligundulika feki kwa kujifanya mambo yao yamefanyika USA na kwingineko ulaya...
Mradi wa gesi ya Songo-songo unajulikana zaidi kama “Songas” - ambao unamilikiwa na kuendeshwa na kampuni ijulikanayo kama Pan African ni wa kijinga na hauna maslahi yoyote kwa mtanzania kwanini mradi huu ni wizi mtumpu!
Kwanza Tanzania haina mamlaka yoyote ya kibiashara katika mrado huo.
Eti...
Tuesday, 24 May 2011 20:08 newsroom
NA MOHAMMED ISSA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema mkataba kati yake na kampuni ya gesi ya Songas una utata na unaweza kulisababishia hasara kubwa. TANESCO imesema mitambo ya Songas haiwezi kuzalisha megawati 160 kwa sasa, kwa kuwa haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.