tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. V

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnamsagia kunguni Rais Samia

    Tanesco ni taasisi useless sana hapa nchini. Umeme mnakatakata Kila mnapojiskia, mnasingizia mvua. Mvua Sasa inagonga ya kutosha mnasingizia nguzo. Kila siku sehemu niliyopo lazima mkate na mbaya zaidi hamna fomula mnakata mnavyojiskia,bila kujua huo umeme hatuutumia tu kuchaji simu Bali ni...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanesco Wilaya ya Chunya tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi hakuna umeme!

    Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya? Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme. Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama? Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama...
  3. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Walalamikia Mvua kubwa, wasema ni chanzo cha mgao

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka. Kupitia taarifa iliyotolewa na...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO na DAWASA sitisheni kupeleka huduma maeneo ya mabondeni

    Mheshimiwa Rais wetu mpendwa tunakuomba uwaagize Tanesco na Dawasco waache mara moja kutoa huduma kwenye maeneo ambayo ni hatarishi(mabondeni). Kwa kufanya hivyo itapunguza kasi ya wananchi kujenga maeneo hatarishi.
  6. Stroke

    JamiiForums Tanzania Leo Tanesco itakuwa kuna intern kitengo cha switch ya kukata umeme. Wanakata kila baada ya nusu saa.

    Naamini kabisa leo kuna mtu anapata mafunzo kwa vitendo kwenye kitengo cha kukata umeme hapo Tanesco. Maana kila baada ya nusu saa wanakata. Nimekaa hapa nawahesabia tu.
  7. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme Dar, wapi unacheki Taifa Stars vs Morroco AFCON 23?

    Je, ni njama ya wenye mabanda ya mpira na mabar?
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  9. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnafeli hasa huku mikoani, ufunguzi wa AFCON na mechi ya mapema Simba mmeshaukata umeme

    Mnashindwaje kuyachukulia uzito matukio makubwa mawili kama haya? Rais wetu Ndugu mueshimiwa mwinyi ametumia kukarabati uwanja wa Amani kwa usd kadhaa na tukio kubwa la Tanzania liko zenji mmetukatia sisi wa mikoani umeme tusokuwa na majereta tusione, mnauangusha uchumi wa blue ndugu zangu...
  11. majebsmafuru

    JamiiForums Tanzania TANESCO imetosha, tukutane mahakamani

    TANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)! Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO! Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku. Kazi zangu na za mama...
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Uganda yapunguza bei ya umeme kwa wawekezaji na wafanyabiashara. TANESCO na Serikali igeni mfano huu mzuri

    Ikikenga kukuza biashara, uwekezaji na viwanda Nchi ya Uganda imesema itawapunguzia bei ya umeme watu wote walioko kwenye sekta ya biashara, viwanda na Watumishi wengine wakubwa Ili kuwaounguzia gharama za uendeshaji na kuchochezea zaidi Uchumi. Pamoja na Uganda Kunyomwa Mikopo na WB na...
  14. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Watu kukaa nyumbani kipindi cha likizo chanzo cha umeme kuisha haraka

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema kuwa limebaini mapumziko ya miezi ya Disemba na Januari ambayo watu wengi wanakuwa nyumbani katika mapumziko ya mwisho wa mwaka ndio sababu ya umeme kuisha haraka kwa watumiaji wa mita za LUKU. Kwenye mitandao mbalimbali wananchi wanalalamika kuhusu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mfanyakazi 'immigration', TANESCO au TRA Maskini?

    Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
  16. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO na umeme wenye kujua sikukuu

    Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu? Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea! Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya. Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Siyo TANESCO tu hata TTCL ni Kichefuchefu kingine

    TANESCO hawana jina zuri kwa sasa mbele ya wananchi kutokana na kukatika ovyo kwa umeme lakini hawa TTCL ni wa ovyo na wazembe kupindukia. Maeneo ya Oysterbay takriban mita miatatu hivi kutoka ofisini kwao kuna nguzo ya simu ilianguka yapata siku kumi hivi zimepita. Hii nguzo imeangukia kwenye...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme Xmas ni ukaidi ama ndiyo wako juu ya Serikali

    Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
  19. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO ndilo shirika linalochukiwa zaidi Tanzania kwa mwaka 2023, hadi wahubiri wawaomba waumini kuwasamehe

    Tatizo la umeme lilianza January Makamba aliitisha kongamano kubwa la matajiri na viongozi mbalimbali kwa fedha nyingi za serikali. Tatizo la TANESCO lilipanuka pale ambapo wanasiasa akiwemo Naibu WAZIRI Mkuu Biteko alipoanza kufanya siasa na kuacha kusema kweli kuhusu undani wa tatizo Tatizo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Merry christmass TAnesco & Happy new year

    Ninakupenda sana na kukuhitaji kila wakati,ingawa wewe unihitaji kihivyo,ninakulipa kwa wakati kukuonyesha mimi ninakujari sana sijari kama utanilipa kwa wakati,mwaka mzima ninavumulia mateso yako unajua sina ujanja wa kuachana na wewe,ueleweki mchana uuleweki usiku penzi lako aliniweki kwenye...
Back
Top Bottom