tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

    Leo tarehe 02 October 2023 nimenunua umeme wa sh.11,000/= ambapo nilitegemea kupata unit 28.0 lakini nimepata unit 26.6! Je, umeme umepanda bei au ni tabia nchi tu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco naona hamjakata leo. Isije kuwa mnategea kutukatia game ya YANGA LEO

    Nimewaza tu maana nchi hii ina visa sana na KUKOMOANA
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. Naibu Waziri anazungumza Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  5. eRRy

    JamiiForums Tanzania Kakobe: TANESCO mwogopeni Mungu!

    http://www.youtube.com/watch?v=tPK7kXLgkH4
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Press Release ya TANESCO ya jana ilivyo na Pumba nyingi nimeamini Tanzania ina Wasomi wengi ila wasio na Akili

    GENTAMYCINE namuomba huyo Mtu wao wa PR / Communication aachie Ngazi kwa Taarifa ile ya Kipuuzi yenye Pumba nyingi na iliyotuachia Maswali mengi Sisi Great Thinkers wa Kutukuka.
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Tanesco kwamba umeme kukata ni sababu ya kukua kwa shughuli za kiuchumi imekaa kisiasa

    Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
  8. Exile

    JamiiForums Tanzania Hii nchi nikajua ambao hawapo serious ni Tanesco kumbe hadi matapeli wanasahau majukumu yao😂😂

    Dada alivo mjibu anatoa jicho tapeli kasahau hadi kutapeli na nina uhakika yeye ndo katapeliwa
  9. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mngesubiri Watu Wajiandae Waende Makazini Angalau, Mnakata Umeme Mtu Akiwa na Mapovu Bafuni Wazee...?

    Hata salamu sitoi. Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee. Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

    1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania. 2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700. 3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. 4. Zesco ama Zambia...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

    Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta. Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo. "Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania TANESCO imeoza ibinafsishwe

    Shirika la umeme Tanzania liko hoi kutokana mgawo mkubwa unaoendelea. wafanyakazi wake wamekuwa wanapenda rushwa kupitiliza. wakati Nchi ikiwa kwenye mgao mzito wa umeme mpaka kero wenyewe wanawaza kuiba tuuu. Mfano wilaya uyui kila kitu lazima utoe rushwa ukitaka kupimiwa utoe rushwa...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kama MDDU Unit ya TANESCO ni Mali ya Maharage, Basi astaafishwe kwa manufaa ya Umma

    Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu. Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa kupiga hela, akaanzisha Managing Director delivery unit - MDDU. Akaweka watu wake, halafu...
  15. voicer

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande kutoka Ukurugenzi TANESCO hadi Postamasta - amepanda au ameshuka?

    Umofia kwenu Uteuzi uliofanywa na Rais Samia kwa kumtoa Maharage Chande TANESCO na kumpeleka kuwa Mkurugenzi TTCL na hatimaye ndani ya siku mbili akamteua kuwa PostaMasta inaleta tafakuri jadidifu kidogo. Sisi wanaNzengo tunaweza kuwa na maswali yanayosumbua bongo zetu Cheo cha Postamsta kina...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Muda TANESCO mnakata umeme sio rafiki. Mnatesa Wananchi bila sababu

    Hivi TANESCO ndio tumekubali kuna shida lakini mkikata umeme saa 8.00 am mkarudisha 5.00 pm. Mnaona wananchi watafaidi sana. Kwa nini mkate saa 6.00 am watu wanajianda kwenda makazini na shuleni. Waoneeni huruma Wananchi ata kama ni upigaji sio kutesa wengine.
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Medard Kalemani & Tito Mwinuka: Collaboration Iliyoongoza TANESCO kwa Mafanikio Makubwa

    Ukweli usemwe: Enzi za uongozi wa Medard Kalemani na Tito Mwinuka kukatika kwa umeme ilikuwa ni nadra sana, ma meneja wa TANESCO wa mikoa na wilaya walikuwa matumbo joto. Kitengo cha emergency kilifanya kazi mchana kutwa, usiku kucha, huko vijijini speed ya kuwasha umeme kwenye miradi ya REA...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kagusa TANESCO, TTCL, REA, POSTA. Mbona EWURA hajagusa?

    Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili. Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Uongozi TANESCO hayana maana kama bado umeme unaendelea kukatika

    Baada ya Safu ya viongozi TANESCO kubadilishwa siku chache zilizopita tulitegemea kidogo mabadiliko ya kukatwa kwa umeme, lakini cha kushangaza bado umeme umeendelea kuwa mwiba kwa sisi wafanyakazi tunaotegemea umeme kuendesha shuguli zetu. Unaamka Jumatatu unasema nijikongoje leo nipige kazi...
Back
Top Bottom