tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Uganda yapunguza bei ya umeme kwa wawekezaji na wafanyabiashara. TANESCO na Serikali igeni mfano huu mzuri

    Ikikenga kukuza biashara, uwekezaji na viwanda Nchi ya Uganda imesema itawapunguzia bei ya umeme watu wote walioko kwenye sekta ya biashara, viwanda na Watumishi wengine wakubwa Ili kuwaounguzia gharama za uendeshaji na kuchochezea zaidi Uchumi. Pamoja na Uganda Kunyomwa Mikopo na WB na...
  3. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Watu kukaa nyumbani kipindi cha likizo chanzo cha umeme kuisha haraka

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema kuwa limebaini mapumziko ya miezi ya Disemba na Januari ambayo watu wengi wanakuwa nyumbani katika mapumziko ya mwisho wa mwaka ndio sababu ya umeme kuisha haraka kwa watumiaji wa mita za LUKU. Kwenye mitandao mbalimbali wananchi wanalalamika kuhusu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mfanyakazi 'immigration', TANESCO au TRA Maskini?

    Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
  5. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO na umeme wenye kujua sikukuu

    Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu? Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea! Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya. Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siyo TANESCO tu hata TTCL ni Kichefuchefu kingine

    TANESCO hawana jina zuri kwa sasa mbele ya wananchi kutokana na kukatika ovyo kwa umeme lakini hawa TTCL ni wa ovyo na wazembe kupindukia. Maeneo ya Oysterbay takriban mita miatatu hivi kutoka ofisini kwao kuna nguzo ya simu ilianguka yapata siku kumi hivi zimepita. Hii nguzo imeangukia kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme Xmas ni ukaidi ama ndiyo wako juu ya Serikali

    Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
  8. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO ndilo shirika linalochukiwa zaidi Tanzania kwa mwaka 2023, hadi wahubiri wawaomba waumini kuwasamehe

    Tatizo la umeme lilianza January Makamba aliitisha kongamano kubwa la matajiri na viongozi mbalimbali kwa fedha nyingi za serikali. Tatizo la TANESCO lilipanuka pale ambapo wanasiasa akiwemo Naibu WAZIRI Mkuu Biteko alipoanza kufanya siasa na kuacha kusema kweli kuhusu undani wa tatizo Tatizo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Merry christmass TAnesco & Happy new year

    Ninakupenda sana na kukuhitaji kila wakati,ingawa wewe unihitaji kihivyo,ninakulipa kwa wakati kukuonyesha mimi ninakujari sana sijari kama utanilipa kwa wakati,mwaka mzima ninavumulia mateso yako unajua sina ujanja wa kuachana na wewe,ueleweki mchana uuleweki usiku penzi lako aliniweki kwenye...
  10. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Mlisema January Makamba anahujumu TANESCO ameondoka basi muacheni yeye ni binadamu kama nyie

    Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba. Rais Samia...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mali zake zitaenda wapi ?

    wana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania TANESCO ivunjwe kwa staili hii

    Ni wazi shirika hili limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii. Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo litasimamia mitambo yote ya kuzalisha umeme ya serikali, na kuwe na mashirika ya usambazaji wa umeme kwa kila...
  13. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kama Waziri wa Mipango na Uwekezaji anafuata mashirika yasiyokuwa na tija, kwanini haifuti TANESCO?

    Hivi hili shirika lina tija kwa Tanzania na watanzania? Miaka nenda rudi sarakasi za TANESCO haziishi. Ahadi za watendaji na wanasiasa kuhusu TANESCO zinatolewa kila mwaka. Lkn hakuna jipya. Swali la msingi ni kwann halifutwi shirika hili?
  15. DPN

    JamiiForums Tanzania TANESCO Nyakato Mwanza wanatutesa wateja wa Mwandulu - Kisesa

    Nawasilisha.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wameamua kumpuuza Makonda?

    Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention . Je hii ni style mpya yakutoshirikiana naye wala kumpa mada zakupambana nazo? Tumemsikia leo...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini TANESCO isivunjwe?

    Hakuna umeme hata dar es salaam, viwanda, majumbani na kwenye biashara hakuna umeme, ni shida na hasara ya matrilion inapatikana: Mvua zinanyesha nchi nzima, mabwawa yamejaa na mafuriko kila kona ya nchi. Kwanini umeme hakuna? Kipindi cha ukame mnasingizia mabwawa yamekauka na mabwawa yakijaa...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  19. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nyansaho ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

    Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda. Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom