soma

  1. Roving Journalist

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  2. SirSalumu

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
  3. Titicomb

    Soma Hekima za Wadau: Ukilewa bangi au pombe na kufanya mambo ya ajabu huyo ndiyo wewe halisi

    “When You smoke herb it reveals you to yourself. All the wickedness you do is revealed by the herb – it’s you conscience and gives you an honest picture of yourself.” — Bob Marley Tafsiri: Ukivuta bangi inakutambulisha ulivyo. Mambo yote maovu unayofanya baada ya kuvuta bangi yanafunuliwa kwako...
  4. H

    Usichague kazi, soma hapa nikutie moyo

    Naomba niwatie moyo wote wanaotafuta kazi bila mafanikio . Wakati nimemaliza degree yangu miaka ya nyuma kidogo, nilikaa kwa muda wa miaka miwili bila kupata kazi, Kila ninapopeleka application siitwi, ila nakumbuka niliitwa katika shirika moja kubwa tu lisilo la kiserikali kwa ajili ya...
  5. Pdidy

    Mume hanyimwi tendo la ndoa. Mpe haki yake, soma maandiko

    Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu Awaweke SAWA else mkishindana mtatuongezea majani pale kinondoni ama mbwen na ununioo Anza kuchukua...
  6. Ndondocha mkuu

    Soma upate mawili matatu: Mhitimu mambo ninayopitia kipindi hiki katika harakati zangu

    Habari yenu wanaJF Poleni na Majukumu ya kila siku, Leo nimekuja kusimulia mawili matatu nayopitia katika harakati zangu nishare nanyi ndugu zangu. Wanajf mimi Ni muhitimu wa BSc Education(Mathematics and geography) , kama post zangu nyingi zilivyojieleza huko nyuma. Nilihitimu mwaka 2019...
  7. Richest richman qudu

    Nafasi za masomo kwa waliomaliza Kidato cha Nne 2015 - 2019 na kukosa nafasi ya kuendelea kidato cha tano

    KWA WALIO KOSA SELECTION FORM FIVE. Soma hapa👇👇👇👇👇👇👇👇 Usipate stress kwa waliokosa nafasi kujiunga kidato cha tano na wanao itaji kurudia mitiani kidato cha NNE, SiTA, na QT shule ya HELP VISION OPEN SCHOOL... Reg No. IAE/OS/0570 .... inawatangazia wanafunzi, wazazi, walezi.. Wote...
  8. Ndondocha mkuu

    Soma ujifunze: Jinsi kijiwe changu kilivyosababisha mtu akalizwa 2M na tapeli leo

    Wakuu habarini za Mda Huu, Nina Kisa kimoja leo kama mnavyojua baada ya kumaliza Chuo Basi tunavyosubiri milioni Basi tunatafuta Buku. Jana majira ya saa 4 Asubuhi nikiwa katika kijiwe changu cha kuchimba mchanga mgumu alitokea mteja mmoja aliyekua kavalia nadhifu sana akiwa ameshuka bodaboda...
  9. Q

    Programming Language soma ujifunze kitu

    Wadau mpoo habari za kitambo kidogo Leo mekuja hapa naona watu wengi wanapost thread kuhusu programming ila wengi wanishia njiani. Kwa hiyo kuna wengi wanopenda kujifunza wanaishia njiani hawajui wapi pa kuaznia na wapi pa kuishia sasa leo nataka nikudokeze kitu kidogo nikupe mwanga...
  10. Jaji Mfawidhi

    Askofu Bagonza amnanga mkulu kimafumbo, soma kwa kifupi

    a Askofu Bagonza AKILI na IMANI Hivi kipi kinaanza? Kipi kinawezesha kingine? Imani ndiyo inakuongoza kuwa na akili au akili inakuongoza kuwa na imani na kuitegemea? Wanaopuuza umuhimu wa kutumia akili, wawaulize wazazi ambao kwa bahati mbaya wana watoto au jamaa waliopungukiwa na akili, kwa...
  11. feisar wa moro

    Shikamoo wewe kipofu uliyeniibia pikipiki na ukaiendesha

    SHIKAMONI/MARAHABAA STORY YAHUSU: NILIVYOIBIWA BOBABODA MAGOMENI JIJINI DSM Nipo zangu kijiweni nikisubiri abiria mara paap wanakuja wanaume wawili mmja mtu wa makamo miaka 40/55 amevaa miwani meusi akionekana ni mtu mwenye ulemavu wa macho (kipofu) na mwingine ambae ni kijana Kati ya miaka...
  12. Kipenzi Changu

    Dkt. Kigwangalla kushauri "Herd Immunity" dhidi ya Corona, ndio msimamo wa Serikali?

    Hamis Kigwangala ambaye ni daktari wa afya ameandika meengi katika mtandao wake wa instagram. Kwa tafsiri rahisi ni kwamba anashauri herd immunity. Kutokana na mwenendo wa serikali katika mapambano dhidi ya corona Je,huu ndio msimamo wa serikali? Mbona maambukizi mapya hayatangazwi,mbona vifo...
  13. S

    Zitto ataka wabunge wote walioko Dodoma wawekwe kwenye karantini

    Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter: Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge...
  14. Prodigy Oligarchy

    Soma hapa kabla hujaagiza gari, huenda ikakufaa

    Salaam sana jf, Naomba kukuwekea hapa, Magari tofauti tofauti kutoka kampuni mbali mbali za uuzaji magari nje, pamoja na bei zake hadi gari kufika bandari ya hapa Dar es salaam (CIF). Tutaangalia kwa pamoja na kusaidiana ushauri, na kwa ambaye huwenda ameona gari anayohitaji ama kuipenda...
  15. Superbug

    Mwanamama Golda Meir na kisasi cha haki

    MWANAMAMA shupavu waziri mkuu wa Israel wa zamani alisimamia operation moja Kali Sana ya kijasusi iliyoanza mwaka 1972 na kuisha miaka ya tisini takriban miaka 20 . Operation hii iliongozwa na shirika la ujasusi la Israel mossad. Hii ilikuwa ni baada ya wanariadha wa Israel kuuwawa wakiwa...
  16. TODAYS

    Hebu soma halafu niambie ni sahihi au sio sahihi?

    Amani kwako. Huko kwa wakoloni ikiwepo Marekani huwezi kumtuma mwanamke akulete maji ya kunywa au kumwagiza mtu na wewe umekaa tena ume-relax, maana yake kila kitu anajihudumia mwenyewe hakuna utumwa wa kuamrishana. Wala Marekani huwezi kumkaripia mwanamke faini yake ni inafikia laki 600,000...
  17. Stuxnet

    Mambosasa soma alama za nyakati

    Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na akiwa na shida atakwenda Ulaya au China. Nina ushauri kwa RPC wa Kanda Maalum Lazaro Mambosasa. Kwa...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    MAMA NA MAISHAHISTORIA YA UKWELI KABISA SOMA UPATE ELIMU

    Mama ni Maisha. Picha ya kweli baada ya operation iliyodumu kwa masaa 7. Mtoto aliyezaliwa yupo mikononi mwa Mama yake, na upande wakulia ni daktari akiwa analia kwa uchungu sana.! Uyo Mama alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa zaidi ya miaka 11, ikafika wakat akakata tamaa kabisa yakuja kupata...
  19. CONTROLA

    Zifahamu athari za kunywa maji kupita kiasi

    Wataalam wanashauri unywaji maji mengi, lakini ukweli ni kwamba yaweza kuwa hatari kubwa. - Yadaiwa maji huongeza uwezo wa kufikiri na kupunguza maumivu ya kichwa - Wataalamu wanahoji athari za kunywa maji kupindukia - Wanashauri unywaji wa lita moja mpaka mbili ni hatari - Hivyo ni kwa...
  20. BradFord93

    Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya) Just kabla sijaanza, ukitaka kuona mafanikio ya hii biashara wewe muuzaji uwe mtaji wa kwanza. Kichwa chako kiwe mtaji dukani pia mazoea...
Back
Top Bottom