Nilikua na ndoto ya kusoma chuo Mlimani tangu nikiwa shule ya msingi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,315
8,214
Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza Mlimani ilianza nikiwa shule ya msingi.

Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale Mlimani pindi wanasoma.

Basi ndipo nilipoanza kupiga kitabu kwa bidii ili nifike Mlimani. Hapo ilikua ni shule ya Msingi

Nilipiga kitabu sana mpaka kidato cha sita. Mungu si athumani nikachaguliwa kujiunga chuo cha MLIMANI pale COET kwa kozi ya Electrical Engineering. Kwakweli nilifurahi sana.

Harakaharaka nikaenda zangu MLIMANI. Kwakweli yale mazingira yalinivutia sana.

Mpaka nahitimu degree yangu ya kwanza bado natamani kurudi MLIMANI.
 
Ndoto yangu ya kusoma degree yangu ya kwanza MLIMANI ilianza nikiwa shule ya msingi.

Nilikua nikisikia tu story kutoka kwa dingi akisimulia mandhari na elimu ya pale MLIMANI pindi wanasoma.

Basi ndipo nilipoanza kupiga kitabu kwa bidii ili nifike MLIMANI. Hapo ilikua ni shule ya Msingi

Nilipiga kitabu sana mpaka kidato cha sita. Mungu si athumani nikachaguliwa kujiunga chuo cha MLIMANI pale COET kwa kozi ya Electrical Engineering. Kwakweli nilifurahi sana.

Harakaharaka nikaenda zangu MLIMANI. Kwakweli yale mazingira yalinivutia sana.

Mpaka nahitimu degree yangu ya kwanza bado natamani kurudi MLIMANI.

Ulishapata kazi ya sociology??
 
Back
Top Bottom