simu

  1. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

    Habari 👋🏾 Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
  2. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Suala la Ufahamu: Naomba Kujua jinsi ya Kufuta Documents kwenye Recycle Bin simu za Samasung

    Salaam! Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta...
  3. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Je, Tendo la ndoa haliwezi kufanyika mpaka umeme uwake?

    Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike; Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana...
  4. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki 2 unanishauri simu gani nzuri?

    Habari zenu, Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo. Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani. Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Je, kuna simu inayoonesha saa na sekunde?

    Wadau wa sayansi habarini. Hivi kuna simu yenye kuonesha saa na sekunde kwenye screen? Kama ipo picha tafadhali.
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali - kuna ngoma za zamani ni kama vile vocal imerekodiwa kwa simu ikadondosjwa juu ya beat

    https://www.reverbnation.com/ngomanagwa/song/14421014-mapacha-5050 Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni beat zao, hata ile tunabang ina beat kali. Sema leo nimeisikiliza nikagundua production hasa...
  7. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Hadi leo hii kuna wanandoa wanashare simu (This is modern world modern)?

    Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa na mtu mmnayependana. SASA UKIWA UNATAKA WASILIANA NA MWENZIO INABIDI UPIGE KWA JIRANI, NDO...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

    Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali. Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo. Chanzo: Swahili times
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kusajili simu uligeuzwa kuwa kisiasa na sasa tunaona ubaya wake

    Watanzania wanafanywa wajinga sana kwenye maswala ya mitandao kuna mambo mawili ambayo watu wengi hawakuyajua 1. Juzi wakati Raisi anafungua kiwanda cha polisi IGP alisema Polisi hawana teknologia ya kutosha. Rais Samia akasema sasa tulivyo andikisha simu kwa vidole ilikuwa na maana gani? swali...
  10. Abuwhythum

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kuonesha 'internal memory full'

    Nina simu aina ya Samsung Galaxy A30, kila mara inaonesha internal memory full, na inashindwa ku-operate kabisa, hadi ninalazimika kuzima simu na kuiwasha tena ndio kidogo inakuwa na free space. Ikizingatiwa sijaweka vitu vingi vya kuifanya ijae. Sasa ninashindwa kuelewa iwapo hii simu ni fake...
  11. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nachukia sana mwanamke ambaye umekaa naye mahali akiwa amefunika simu yake

    Jamani Kuliko kuendelea kuficha simu yako wakati ukiwa na bae wako, kwanini usidate na huyo anaekufanya unaficha simu yako?
  12. michael G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

    Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado. Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tusipende kupuuza simu tunazopigiwa

    Habari za asubuhi wana JF, Ni siku nyingine tena basi tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu endapo amekupa kibali cha kuiona tena siku ya leo. Nina jambo nahitaji kushirikiana nanyi kwa mawazo katika kukumbushana pia kwani nimeliona mara nyingi kwa watu wa karibu na hata kunikuta mimi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

    .
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

    Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania. Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam. Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.
  16. Maji Chai

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

    Habarini wakuu Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli. Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei yaani yeye ananitafuta akipenda yeye. Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu...
  17. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: wimbi la wizi wa Mtandaoni kutumia simu

    habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za akaunti za benki na za mitandao ya simu na kuiba fedha. na kama huna fedha wanakopa kutumia salary...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuna nini mpaka siku hizi ndugu hatutembeleani?

    Hivi wakuu nanyie mnaona kama mimi au? Mbona kama ile Tamaduni yetu ya kutembeleana haipo tena. Unajua ile tunakua, ilikua unasikia..Likizo hii tunaenda kwa Shangazi..kwa Baba mdogo. Kwa Mjomba... Kwa Bibi ...n.k Lakini siku hizi hii kitu haipo Au Mitandao yakijamii imechukua nafasi...yaan...
  20. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

    Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana...
Back
Top Bottom