Biashara hazijawahi kuisha chini ya jua ni vile tu unavyoamua kuchukulia mambo na kujichukulia wewe upo vipi,leo nataka nimsaidie mtu mmoja mahali flani kuichambua hii biashara ili kama alikua akiwaza nini chakufanya na hapati apate pakuanzia,na kwa wanaoifanya basi waboreshe ili mwisho wa siku...
Habari za weekend,
Kwa budget ya Laki tatu (300k) naomba ushauri kwenu ni simu gani nichukue yenye uwezo mzuri wa battery, camera na internal memory kubwa ya kukidhi matumizi ya kawaida.
Nahitaji fundi anaeweza kufanya Password Unlock ya Oppo A31 2020 CPH2015, simu ni mpya haina google account. Kama yupo fundi anaepatikana Dar itakuwa poa zaidi
Katika kukabiliana na malalamiko juu ya huduma ya vifurushi zinazotolewa na kampuni mbalimbali za simu nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetengeneza kanuni ndogo zitakazoratibu utoaji wa huduma hizo.
Kuandaliwa kwa kanuni hizo kumekuja kufuatia maoni 3278 yaliyotolewa na...
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa...
Simu yangu ni Tecno K9.
Nataka kufanya back up ya contacts zangu kwenye google akaunti yangu. Nisaidie nafanyaje. Nimesoma google hainipi ninachokitaka.
Please assist.
Kama mnavyojua kuwa ni muhimu kuwajali wa nyumbani kwako.
Simu ya bebe imevunjika.. Baada ya kunililia shida mdau nimeona nijiongeze kwa kumpa hii ya kwangu.
Kwa kuwa sikuwa na bajeti ya kununua simu hivi karibuni, basi wadau sitokuwapo hewani kwa muda.
Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ
RAM 8 GB.
Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display kupitia kwenye PC. Mirroring Casting kama sikosei. Sasa inagoma imetokea baada ya ku update Windows...
Nimenunua simu mpya, nikaweka line zangu toka simu ya zamani. Nikakonect internet na whatsapp, loh! whatsapp zangu contacts ma msgs hazikurudi. Nifanyeje?
Rais Biden wa Marekani ameanza shughuli za kikazi na kama ilivyo kawaida kwa Marekani, rais mpya lazima aanze kwa kushauriana na viongozi wenye ushawishi mkubwa kwenye kila kanda, hapa kaongea na rais Uhuru ili kuwekana sawa kwenye baadhi ya mambo muhimu yanayoihusu Afrika...
Natumaini nyote mmeamka salama, Msaada tafadhari Simu yangu imekuwa na tatizo la upigaji camera kila ninapopiga picha inakuwa na ukungu hata haionyeshi,tatizo hili limeanza gafla,kipindi cha nyuma haikuwa hivi msaada tafadhari natumia Itel
Achana na hustles za mtaani ndugu zangu, Jamaa yangu alihudhuria mafunzo ya ujasiriamali SIDO ili aweze kupata hela za mkopo ambazo kwa kipindi kile zilikuwa nafuu sana. Basi jamaa alitoa hela ya mafunzo akitegemea hela nyingi sana.
Mafunzo yalikwenda kwa miezi miwili walipomaliza akaambiwa...
Habari!
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Kichina Huawei (Huawei Technologies Co., Ltd.) imezindua mradi wa ufugaji wa nguruwe kupitia teknolojia ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) Jumatatu wakati kampuni hiyo ikigeukia katika maeneo mengine ya kibiashara wakati biashara yake ya simu janja...
Tuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri sehemu zipitishazo umeme tu. Jiachie na internet ukiwa ndani ya nyumba yako, ila simu isiwe charging tu.
Nilikuwa nafanya muamala hapa kwa njia ya M-PESA lakini naambiwa "Huduma hii haipatikani kwa sasa" na nipo kwenye situation ambayo bila huu muamala mambo yanakwama. Na hii si mara ya kwanza hali kama hii kutokea.
Ikabidi ni-pause kidogo kufikiria plan B nifanyaje, sasa wazo likanijia, "Hivi...
Dar es Salaam. Kuanzia Julai Watanzania wataweza kutuma fedha haraka kwa watu waliopo kwenye orodha zao za mawasiliano ya simu bila kutafuta namba za majina husika.
Hiyo itawezekana kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itazindua mfumo wake wa Malipo ya Haraka (Tips).
Tips itahamasisha...
Awe mume, mke, mtoto, mzazi babu au bibi hata rafiki au mpenzi. Marehemu akisha kufa inauma sana kufuta namba zake za simu. Wakati ule wa simu za mezani za Shirika la Posta na Simu, jirani zetu walifiwa na mama yao ambae ndiye alikua na akaunti ya simu.
Walikaa miaka mingi wakilipa ankara...
Naombeni msaada ndugu zangu,natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record Ile audio ina acha kuendelea kuimba.
Hii inanifanya nashndwa kucheza huku nikijirekodi,nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.